pascal jumanne
Member
- Dec 8, 2016
- 21
- 15
Nina milioni tano nataka kuagiza gari japan la kutembelea naweza kupata gari aina gani?na gharama zote zisivuke milioni sita???
Msaada ndugu wenye uzoefu.
Msaada ndugu wenye uzoefu.
Unapata gari tena nzuritu..nitafute 0755229028Nina milioni tano nataka kuagiza gari japan la kutembelea naweza kupata gari aina gani?na gharama zote zisivuke milioni sita???
Msaada ndugu wenye uzoefu.
Mil 10??Kodi yenyewe ya tra si chini ya MIL. Kumi
Kama kiasi gani mkuu???Kwa hiyo hela utapata gari kali sana ila ukifika BANDARINI DAR ES SALAAM lazma hiyo gari uitelekeze
Kabla hujaliagiza hakikisha una bajet ya hela ya kulipia BANDARINI + TRA!
PoahUnapata gari tena nzuritu..nitafute 0755229028
Yes pesa ya bandarini +traMil 10??
Mil 10 pamoja na gari au kodi tuu?Kabla hujaagiza GARI YEYOTE kutoka nje ya nchi hakikisha mkononi una milioni kumi.. Otherwise gari yako itaishia bandarini...
Jamani mm nilivyo muelewa anasema milion 5anayo ya kuagiza gari,,ushuru usizidi milioni 6,pamoja na gharama zote..japani kuna gari mpaka dollar 1850 CIF au gharama mpaka bandarini.ambayo sawa ma milion nne kasoro kidogo..kwahiyo akitafuta ushuru pamoja na agent fee,portchargies m6..anaweza kupata gari.ilakama ndio million 5kilakitu...ningumu haitakaa itokee...atafute tu hapahapa gari atapataMil 10 pamoja na gari au kodi tuu?
Pamoja na gari...Mil 10 pamoja na gari au kodi tuu?
Wewe uko toyotajapani au?Unapata gari tena nzuritu..nitafute 0755229028