Nina milioni 25 nifanye biashara gani itakayo nilipa robo tatu au zaidi ya hiyo kila wiki?

500,000 x 2/100 = 10,000

Kwamba faida Ni 10,000 ?
 
Nina milioni 25 nifanye biashara gani itakayo nilipa robo 3 au zaidi ya hiyo kila wiki, au biashara ipi itakayo nilipa sana na kwa haraka
Kiongozi i am sorry kwani hizo hela umeziokota au umehongwa? How come upambane kupata 25M na usijue nini cha kufanya nayo?
 
We jamaa umefanya mwana aonekane hayuko serious na hajui anataka nini๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Apa hakuna ukweli,haiwezekan ukapata 2% kwenye mauzo ya siku km faida.Kama hvyo biashara nyng zingekua zishafungwa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ