Mr Journalist
Member
- Aug 16, 2025
- 44
- 79
Nataka kufanya Biashara ya Stationary
Ni mambo gani napaswa kutafahamu kuhusu Biashara hii?
Vifaa Nilivyonavyo mpaka sasa ni Printer (Canon zile ndogo), Lamination Machine na Pc
Njee ya hivyo vifaa Nina mtaji wa 1M