Nina miaka 32, nishaanza kupuuza kufanya mapenzi. Je, hii ni kawaida?


Uko vzr
 

Aiseee
 
Mkuu hio ni hatua nzuri, ila umechelewa sana kuifikia..

Komaa na maendeleo, hali ya kutamani papuchi itarudi kadri muda unavokwenda
 
Wanaanzaga hivo ivo!!!,,,, tumiaka 32 tu?? bando kinda kabisa wewe, 30yrs hata ukiangalia tako tu linavotikisa kwa wadada kitu hicho kianaita!!! unalala imo humpo!! maweee!! umesharogwa wewe!!! mkeo mtu wa wapi kwanza Sumbawanga?!!

Kwanza hapo ndo penye hatari ya watoto wengi!!! si ke wala me!!! kipindi cha mikito ya vigelegele!! kma hujui kilele chake ni hapa 15-50yrs, hata uwe na malaria ile ya kufa!! sijui unatembea kwa kubebwa lkn ukisikia tu ile kitu inanukia kitu hichi!!!

wanaume sijui tukoje wajameni doooo! siyo kama ke mpaka wasikilizie weeee!!
 
Mjengee vizuri tu !! katoto ka pili kaki graduate tu!!! unakufa ghafla!!! ukiwa na late 40 wewe jifanye kuweka mijengo oa mwingine
 
Jamiiforums watu kama wewe mpo wengi sana, mna ugonjwa wa kusoma vichwa vya habari na kurukia ku comment ama kusoma paragraph ya kwanza tu mje ku comment.

Soma upya na uelewe post, Ni wapi nimeandika perfomance yangu imeshuka??

Nawewe mkuu una shida, Kwanini ume pin point ishu ya kushuka kwa Performance??
 
Hii ideology ni kwa blacks tu labda na Arabs Ila Europeans ni kumbuka ni romance to afu kabao kamoja.
Muda mwingi wanaume wanakaa maabara wakiwaza kuvumbua vitu vitakavyofanya vizazi vya wapenda ngono wawe watumwa kwa vizazi vyao milele.
Saivi tayari una simu,gari,nguo,viatu,tiles,yaani kila kitu Cha kwao. Jamaa kiukweli ngono hawana time kabisa.
Ndo Mana jamaa akaelezea poa kabisa kuwa ukiwa na passion or you're ambitious guy with something in life hakyanani oobu hausimami,yaani huwezi tekwa na akili na k.
Niambie waarabu ama waafrika wamevumbua Nini ambacho kinauzwa duniani kote.
Yaani mtu unakuwa mtu unapigana unapata hela ili ukanunue kazi ama ubunifu wa mtu.
Mie nikuulize tu ngono Ina faida gani,ukija kuwa na wajukuu waweza jipiga kifua mbele unawasimulia kuwa ulikuwa kitomb.
Muache jamaa mie namuona Yuko pia.wapo watu muda wote wao ni kuwaza Tako,titi,mguu,sura sijui miss fulani ili amle.
Akili inayotumika kuwaza k ni energy kubwa tu
 
Huyu jamaa hata sijamwelewa yaani.! Unapigaje nyeto na una mwanamke ndani ? Mmh
Hata kama sijaoa ila nikiwa kwenye age kama hiyo mimi Nyeto hamnaa mademu wapo kibao huko mtaani mpaka elfu tano kikubwa kuvaa kondomu vizuri basi.
Mbona unapiga mkuu unashangaa nini.wife amejifungua 3 months unashtua kamoja unamvumilia amalize muda huo.
 
Mbona unapiga mkuu unashangaa nini.wife amejifungua 3 months unashtua kamoja unamvumilia amalize muda huo.

Mmmh Miezi mitatu unakausha tu ?? Mie natafuta wa kunipoza huko Nje. Kwa sasa tu siwezi kukaa wiki sijala sijapiga ngozi, mind you i am not married. So mimi kupiga mbususu ndio starehe yangu ya kwanza ikifuatiwa na Bia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…