Nina miaka 30 sina mtoto

Acha nichelewe tu, maana kama nitashindwa kuafford kuitunza familia yangu basi ni bora ingoje hadi pale nitakapofanikiwa kwanza.
 
Kwa miaka hii, mwanaume kuchelewa ni bora zaidi kuliko kuwahi.

Ukiwahi labda uwe unatoka familia ya kishua sana. Na hata hiyo haitoshi. Unatakiwa kuwa na hekima ya malezi.

Umri mzuri kwa sasa kulingana na changamoto za malezi ya watoto mwanaume at least uwe na miaka kuanzia 30 kwenda juu. Hapo utakuwa baba kwa watoto. Ila chini ya hapo utaharibu watoto.
 
miaka 30 bila ramani wala mtoto, kataeni ila umri umeenda
 

Yaweza kuwa kweli Jamaa hajikubali!
 

Yaweza kuwa kweli Jamaa hajikubali!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…