Weka pichaHata mimi Nina miaka 40 lakini najiona nina 19
ahahaha,kwani ni mtindo mbaya?Ni mtindo mpya wa maisha siku hizi. Ni vyema na inapendeza huoni hata yule muasisi wa mtindo huu na mentor wenu anafikisha 62 mwezi ujao lakini anajihisi ndio anakaribia 24 na matendo yake ni ya 21.
Endeleeni kujihisi hivyo hivyo na baaada ya miaka 10 jishushe tena jihisi una 17 unakuwa unaanza upya
yaweza kuwa,mkuuKuna hatua ( stage ) uliiruka katika makuzi ( child development ) sasa unairudia na ndio maana uko hivyo na kujihisi hivyo. Ni kama nchi yetu katika zile hatua za kimaendeleo tuliruka ubepari tukakimbilia ujamaa, sasa tunaurudia ubepari ili tuweze kusonga mbele !!
100x20=2000,gawa kwa 30 unapata 66.66!Kuna mtu mmoja kule jamii intellegence aliandika hivi,mfano sasa hivi una miaka 25 lakini ukauliza swali au ukawa unamawazo au matendo anayostahili kuuliza, kuwaza au kufanya mtoto mwenye miaka 15,ili kutambua uwezo wako wa akili unafanya hivi(100×15)÷25 .Jibu utakalopata ndyo uwezo wako wa kiakili
>kumbuka jibu likiwa kati ya:
1)80-90;upo chini ya wastani
2)70-79;basi una akili duni
3)chini ya 70,basi una mtindio wa ubongo
Hivyo nyie ambao una umri wa 30 lakini bado unahihisi una miaka 20 unaweza kujiona upo mahali ulipo kwa kuzingatia viwango vilivyowekwa hapo juu