Nina miaka 30,ila najihisi nina miaka 20!kuna tatizo?

Wakati unakua itakua wazazi wako walikulisha chakula aina ya ngano sana,watoto waliokulia hivo vyakula hawazeeki mapema,miili yao ni migumu hawafutuki hovyo
 
asante kwa elimu hii,nitamwongezea mwanangu lishe ya ngano!
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom