Nina mba, natafuta kazi

Jamani, vyeti (hata ukiwa navyo vingapi na vyote ni first class) haviwezi kukupa kazi (labda serikalini na mashirika yake). Waajiri wanaangalia nini unaweza kufanya sio cheti/vyeti vyako vina claim unaweza kufanya nini! Nimeajiriwa private sector mara kadhaa bila kuulizwa vyeti hata mara moja. Leo hii nikienda kwenye interview na prospective employer akaniuliza vyeti huwa nam-discredit immediately (and am a Masters holder from abroad with a various professional accreditations).
 
weka na GPA basi...aaaaaaah aaaaaaaah aaaaaah
 
Wengi wamesaidika hapa JF, nadhani si vibaya kwa yeye kuweka hitaji lake hapa!
 
typing errors ni tofauti na broken english. kwa taarifa yako nenda kwa dr mwiteni na dr ndoloi wapelekee huo ujinga wako. ukidhani mimi niisoma ujinga wako nenda the so called CONAS angalia utakuta. sikusoma shule ya kufanyiwa assignment na secretary kama wewe na ndio maana uko jobless hadi leo wenzio tulifwatwa kuombwa kufanya kazi tena sehem ambazo leo kila mtu anaitupia macho. sikusoma dgree za kuhonga kama wewe. mp................. wewe

Ni sentensi ipi niliyoandika broken English? Mbona mimi nime-cite ulikochemka kote matokeo yake unajitetea ni typing error? Kuanzia leo nifuatilie humu jamvini uone kama ipo siku nitakosea spelling au ku-type. Sasa wewe unayekosea na huku unadai hukufanyiwa assignment na secretary una akili timamu kweli? Hizo taarifa nilizozitoa ni summary, and for your information I was once offered a job hata kabla sijamaliza Chuo, na sehemu zote unazodai nyeti mimi nimefanya na kuacha! Hata sasa usidhani niko idle au sina kazi, I have a job but nataka kubadili kazi. Wee uliyeridhika na mahali ulipo usifikirie wote tuko kama wewe. Hujawahi kusikia watu wame-resign hata Urais bila hata ya kashfa? Sembuse hicho kikazi chako cha kubadilishia mboga? Wee mpuuzi kweli aisee!
 
nakupa ofa ya ajira umeneja wa bar..... andika cv itume haraka.
 
typing errors ni tofauti na broken english. kwa taarifa yako nenda kwa dr mwiteni na dr ndoloi wapelekee huo ujinga wako. ukidhani mimi niisoma ujinga wako nenda the so called CONAS angalia utakuta. sikusoma shule ya kufanyiwa assignment na secretary kama wewe na ndio maana uko jobless hadi leo wenzio tulifwatwa kuombwa kufanya kazi tena sehem ambazo leo kila mtu anaitupia macho. sikusoma dgree za kuhonga kama wewe. mp................. wewe

Mkuu tafadhali bwana;
  1. Sentensi huanza na herufi kubwa.
  2. "dr" ilitakiwa iwe "Dr"
  3. Majina ya watu huanzwa kwa herufi kubwa. Kwa mfano Ndoloi, Mwiteni
  4. "sehem ambazo leo kila mtu anaitupia macho" inatakiwa iwe "sehemu ambazo leo kila mtu anazitupia macho"
  5. Suala lako la kuchanganya kiswahili na kiingereza hilo nimekusamehe, ni janga la taifa kwa sasa.

Mwisho kabisa, kama nimekukwaza naomba sana, tena sana UNISAMEHE
 
siye vilaza ngoja tutulie maana hata huyo Ndoloi tuliuona moto wake.
 
Kama uliaga Deloitte rudi tu ukapate exposure. CPA na MBA bila uzoefu hakuna kitu, niko na vijana wa aina yako "Consolidation" ni msamiati kwao

loo eti uzoefu? Unamuonea mwenzio wivu. Unafikiri masters mchezo. Jigame hicho kiuzoufu chako jamaa asipo kuja kuwa CEO wako baadae. Inaonekana wewe ni shuleless unafanyia kazi uzoefu.
 
Sawa sawa kabisa, sasa nimeona jinsi wewe ulivyo na Kiingereza kibovu kuliko mtu yeyote humu JF. Ngoja nikupe shule maana umejileta na kujikaanga kwa mafuta yako mwenyewe. Hapo kwenye bold ulitakiwa kuandika gramatically consistent sentences. Pia, huwa hatuna speaking and writing englishbadala yake ni spoken and written English. Hakuna kitu kama daily bases bali ni daily basis. Mwisho ni makosa kusema among the factors which hinders na badala yake ulitakiwa kusema among the factors which hinder.
Sasa umeelewa wee mpuuzi na Kiingereza chako cha Mzumbe? Chezea UDSM wewe? Ndio maana ulikimbilia degree na diploma za Vodafasta baada ya kushindwa kupata enrollment kwenye Chuo Kikuu pekee Tanzania! Pambaf!

OLOR]with this type of broken english its difficult. my advice rewrite your cv in good correct way by using gramatically consistence centences.shape both speaking and writing english. try to go through news papers on daily bases and try to apply accordingly.
nafikiri sasa hili limekuwa ni tatizo la graduates wengi. English is a problem and it
may be among the factors which hinders you from getting employment

HAYA NDIYO MAJITU YANAYOFANYA WATU WANAKULA BAN HUMU. JAMANI MIMI NIMEGONGA MPAKA FORM TWO LAKINI NAOMBENI KUJUZWA KAMA HICHO KI ELINGISH KIKO SAWA HAPO.
 
Kwel huyu Sjuma26 anajiabisha tena ni kilaza cha mwisho. Inaonekana shule yake ya kuunganisha.
 
I am real puzzled how did he/she manage to obtain those qualifications with such kind of broken english!

Yakheeee mbona na wewe na huyo anyejiita gfsonwin nikipiga darubini ya hicho kiienglish chenu kina makosa?

Tusichekane bure humu ni wachache sana wanaoandika kiingereza kwa ufasaha humu.
 
[/COLOR]with this type of broken english its difficult. my advice rewrite your cv in good correct way by using gramatically consistence centences.shape both speaking and writing english. try to go through news papers on daily bases and try to apply accordingly.
nafikiri sasa hili limekuwa ni tatizo la graduates wengi. English is a problem and it may be among the factors which hinders you from getting employment

Hata wewe English level yako siyo nzuri. Makosa mengi tu.
Huanzi na capital letters mwanzoni mwa sentensi, koma na vituo huweki, yaani uko zigizaga.

Ninachotaka kukuambia ni kwamba, English siyo lugha yetu.
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom