Nina mba, natafuta kazi

Hi Members of JF.

I am looking for a job. Here under is my qualifications in summary:-
  1. Have recently completed Masters of Business Administration from the University of Dar es Salaam (First Year MBA Results show a GPA of 4.5)
  2. I am a Certified Public Accountant since May, 2008
  3. I hold a Bachelor Degree in Commerce majoring in Accounting (BCom) from the University of Dar es Salaam, with an overall GPA of 4.3
  4. I have undergone various courses and and job-related trainings

My work experience, in summary, is as follows:-

  1. Worked as an Audit Assistant at Deloitte & Touche
  2. Worked as a Financial Accountant with Mwananchi Communications Ltd
  3. Worked as a Trainer in various professional training centres
ndugu yangu, huh! yaani wewe ndiyo kilaza kwelikweli, kwa elimu hiyo uliyonayo ulipaswa kuwa job creator, unazidiwa hekima na marehemu kanumba kweli? think big bwana, sisi tulipaswa kuomba ajira kwenye kampuni yako
 
Jamani, vyeti (hata ukiwa navyo vingapi na vyote ni first class) haviwezi kukupa kazi (labda serikalini na mashirika yake). Waajiri wanaangalia nini unaweza kufanya sio cheti/vyeti vyako vina claim unaweza kufanya nini! Nimeajiriwa private sector mara kadhaa bila kuulizwa vyeti hata mara moja. Leo hii nikienda kwenye interview na prospective employer akaniuliza vyeti huwa nam-discredit immediately (and am a Masters holder from abroad with a various professional accreditations).
nawewe kwanini usitengeneze ajira bwana? elimu hiyo unajisifia kuajiriwa? shame on you
 
how can this be nashindwa kuelewa mkuu,ni kweli kazi hakuna au unachagua pa kufanya kazi?maana kuna wengine mnaotaka kufanya kazi Dar pekee hata ukiambiwa kuna kazi Kibaha hutaki,pia kuna kigezo kingine kinachotutesa sana wengi wetu kule kutaka kuanza kufanya kazi za mshahara mkubwa uajiriwe leo baada ya siku 2-3 una nyumba na gari and most likely kinachotesa wengine ni kutaka kushindana na x-classmates zako ambao mambo yao yamenyooka matokeo unaendelea kusota mtaa ukisaka kazi zenye kukuwezesha kufanana nao au kuwakaribia kwa mbaaaaaaaaali mpaka viatu vinaisha,zoom mbona wanatupa job vacancies daily mkuu, there is a problem some where ila si kwamba kazi hakuna :heh:
 
Inawezekana mkuu, kama wamesoma degree za Vodafasta kutoka vyuo vingine. Kwa UDSM product hata mwaka wa Tatu tu wanajua hicho unachokiita Msamiati.

Knowing the mean of consolidation or standard related to it does not mean one can consolidate financial statements of a parent company and its subsidiary.

nawewe kwanini usitengeneze ajira bwana? elimu hiyo unajisifia kuajiriwa? shame on you

Why should I be ashamed, for being employed? How far are you sure that am not creating employment? What is your definition of employment? Think outside the box and grow up dude!
 
Mkuu tafadhali bwana;
  1. Sentensi huanza na herufi kubwa.
  2. "dr" ilitakiwa iwe "Dr"
  3. Majina ya watu huanzwa kwa herufi kubwa. Kwa mfano Ndoloi, Mwiteni
  4. "sehem ambazo leo kila mtu anaitupia macho" inatakiwa iwe "sehemu ambazo leo kila mtu anazitupia macho"
  5. Suala lako la kuchanganya kiswahili na kiingereza hilo nimekusamehe, ni janga la taifa kwa sasa.

Mwisho kabisa, kama nimekukwaza naomba sana, tena sana UNISAMEHE

Naomba nimtetee aliyebandika hicho unachokikosowa. Bandiko lolote hapa JF likiandikwa kwa herufi kubwa, bandiko zima linabadilika kuwa herufi ndogo, hivyo halikuwa kusudi la aliyebandika kuandika majina ya watu wa herufi ndogo ila zimebadilika zenyewe.

[/color]with this type of broken english its difficult. My advice rewrite your cv in good correct way by using gramatically consistence centences.shape both speaking and writing english. Try to go through news papers on daily bases and try to apply accordingly.
Nafikiri sasa hili limekuwa ni tatizo la graduates wengi. English is a problem and it may be among the factors which hinders you from getting employment

heri yao waliochagua lugha yao kwa maendeleo ya nchi yao, ila ni hakika tumekuwa watumwa wa lugha yao, kwani si ajabu mzungu akiongea kiswahili kibovu na tukawa kimya...............
Swali la msingi linakuja kwa nyinyi waajiri problem sio lugha ila ni uweza wa mtu kumudu kufanya kazi na uelewa wake katika kazi............... Chukua nchi kama germany, unafikiri kwao english ni bora?

take ur time to think and think what you have and not what they have!!!!!!!!!!
 
[/COLOR]with this type of broken english its difficult. my advice rewrite your cv in good correct way by using gramatically consistence centences.shape both speaking and writing english. try to go through news papers on daily bases and try to apply accordingly.
nafikiri sasa hili limekuwa ni tatizo la graduates wengi. English is a problem and it may be among the factors which hinders you from getting employment
Acha ujinga wewe...
Kwanza kingereza ulichoandika hapa ni broken!!
Pili kumbuka he/she is an Accountant by profession. Taaluma ya uhasibu haiitaji mtu kufahamu lugha sana, cha muhimu ni technical skills na ability ya mtu ya kuevaluate mambo!! Uhasibu ni all about keeping records lugha haiitajiki sana!!
Note; Yeye ni mhasibu na siyo PR!!!
 
Nimeona title "nina mba,natafuta kazi" nikacheka sana.
Nisamehe mkuu,nili tafsiri mba na kazi wapi na wapi kumbe ni MBA,safi sana.
 
Hi Members of JF.

I am looking for a job. Here under is my qualifications in summary:-
  1. Have recently completed Masters of Business Administration from the University of Dar es Salaam (First Year MBA Results show a GPA of 4.5)
  2. I am a Certified Public Accountant since May, 2008
  3. I hold a Bachelor Degree in Commerce majoring in Accounting (BCom) from the University of Dar es Salaam, with an overall GPA of 4.3
  4. I have undergone various courses and and job-related trainings

My work experience, in summary, is as follows:-

  1. Worked as an Audit Assistant at Deloitte & Touche
  2. Worked as a Financial Accountant with Mwananchi Communications Ltd
  3. Worked as a Trainer in various professional training centres

Tabulalata kabisa, CPA since 2008 alafu unakuja kutafuta kazi JF,
 
[/COLOR]with this type of broken english its difficult. my advice rewrite your cv in good correct way by using gramatically consistence centences.shape both speaking and writing english. try to go through news papers on daily bases and try to apply accordingly.
nafikiri sasa hili limekuwa ni tatizo la graduates wengi. English is a problem and it may be among the factors which hinders you from getting employment

Kweli, ili afanikiwe inabidi awe makini kama wewe, hususan hapo kwenye RED.

Grammar for Gramar
Sentences for centences
English for english
Factors which hinders you... (I doubt! I wish ningekuwa muingereza kama wewe)

By the way wadau, sifai kweli hata kufundisha shule ya kata eti?
 
Acha ujinga wewe...
Kwanza kingereza ulichoandika hapa ni broken!!
Pili kumbuka he/she is an Accountant by profession. Taaluma ya uhasibu haiitaji mtu kufahamu lugha sana, cha muhimu ni technical skills na ability ya mtu ya kuevaluate mambo!! Uhasibu ni all about keeping records lugha haiitajiki sana!!
Note; Yeye ni mhasibu na siyo PR!!!
hapo kwenye red kama hujakurupuka sidhani kama una uelewa wa kutosha na unaoitwa "uhasibu"
 
Ni vizuri kuelimishana na sio kutukanana coz wote hiyo sio our mother language!
 
Ni vizuri kuelimishana na sio kutukanana coz wote hiyo sio our mother language!

Tena wenye umri mkubwa, ambao tunategemea wawe na busara ndiyo wa kwanza kuporomosha matusi...sijui wanadhani kutangulia ni ujanja? Wanasahau kwamba kupata au kukosa ni suala la muda tu...
 
[/COLOR]with this type of broken english its difficult. my advice rewrite your cv in good correct way by using gramatically consistencecentences.shape both speaking and writing english. try to go through news papers on daily bases and try to apply accordingly.
nafikiri sasa hili limekuwa ni tatizo la graduates wengi. English is a problem and it may be among the factors which hinders you from getting employment

Wabongo bwana!!..Sasa nawe vipi hapo juu,unammaliza mwenzako wakti we mwenyewe lugha ya malkia kimeo!!...Avoid judging and criticizing people!!!..Fundisha, elekeza ama mtie moyo mtu.Sio lazima upoteze calories ku-assasinate intelligence ya mtu!
 
Unajuwa Wabongo wengi ni watu wa kukurupuka sana. Eti alidai mimi nimekosea Kiingereza, nikamwambia a-cite wapi nilipokosea akaishia kusema mimi nilikuwa nafanyiwa Assignments na secretary. Yeye aliyekuwa akifanya Assignments mwenyewe ana makosa kibao, nilipombana akasema ni typing errors! Nikajua vilaza ndivyo walivyo. Baadaye nikampa kazi afuatilie comments zangu hapa JF, na kama siku akikuta nimefanya typing au grammatical errors aninukuu niko tayari kupokea ban hata ya mwaka mzima! Sasa sijui kaishia wapi! Hao ndio wanaojitapa huku mitaani na degree zao za Vodafasta zenye GPA za 2!
 
[h=2]"Nina mba, natafuta kazi"
Mmmh mi nimesoma kichwa cha habari tu nikafikiri umepatwa na ugonjwa wa ngozi? Kumbe ni mba ni kisoma aluu!
Nakutakia kila heri kwenye utafutaji wako kazi...[/h]
 
Unajuwa Wabongo wengi ni watu wa kukurupuka sana. Eti alidai mimi nimekosea Kiingereza, nikamwambia a-cite wapi nilipokosea akaishia kusema mimi nilikuwa nafanyiwa Assignments na secretary. Yeye aliyekuwa akifanya Assignments mwenyewe ana makosa kibao, nilipombana akasema ni typing errors! Nikajua vilaza ndivyo walivyo. Baadaye nikampa kazi afuatilie comments zangu hapa JF, na kama siku akikuta nimefanya typing au grammatical errors aninukuu niko tayari kupokea ban hata ya mwaka mzima! Sasa sijui kaishia wapi! Hao ndio wanaojitapa huku mitaani na degree zao za Vodafasta zenye GPA za 2!
za voda fasta zinapatikana wapi hizo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom