Nina maumbile madogo ya uume

Me niko na 30cm rule ya kawaida .. we unanionyesha liruler hilo likubwa
mimi niko na yamafundi Asee nikadunchuuuu
20240108_115209.jpg
 
Tallbata tafuta mafuta ya mzaituni MLS 10, - chupa 3.
Kitunguu swaumu robo kilo, Kisha vitwange mpaka vilainike.
Kaanga katika sufuria hayo mafuta na vitunguu swamu.
Mpaka vibadilike rangi, Kisha acha yapoe na uhifadhi katika chupa ndogo yenye mfuniko.
Kabla ya kuanza kutumia dawa, pima ukubwa na urefu was uume wako- ili ufahamu.
Utakuwa una uchua uume wako kwa maji ya uvugu vugu(ndani ya dk 15).
Kisha ndo una Chua uume kwa mafuta hayo, uliyo andaa.
Hakikisha haumwagii, maana ni hatari na haifai(Utakuwa mwanachama was nyetooz).
Tumia wiki 2- 4 Natumai Utaona mabadiliko.
Mkuu. Uume hauongezeki. Na hauwezi kuongezeka biologically. Naomba unikosoe
 
Mzee hatari sie wenye vibamia tunadharauliwa sana na hawa wanawake. Mwenzio nilienda mpaka mbeknyera huko kwa mganga nikuze kibamia changu lakini hamna lolote bado kipo vile vile.
Mzee tujikubali tuu imekula kwetu kwenye hiyo sector
Cha muhimu hapo ni awe na nguvu za kurudia round kila anapomaliza na awe na uwezo wa kusukuma kibamia kwa muda usiozid dk 10

Pia atafute hela
 
Back
Top Bottom