Nina maumbile madogo ya uume

Tallbata tafuta mafuta ya mzaituni MLS 10, - chupa 3.
👉Kitunguu swaumu robo kilo, Kisha vitwange mpaka vilainike.
👉Kaanga katika sufuria hayo mafuta na vitunguu swamu.
👉Mpaka vibadilike rangi, Kisha acha yapoe na uhifadhi katika chupa ndogo yenye mfuniko.
👉Kabla ya kuanza kutumia dawa, pima ukubwa na urefu was uume wako- ili ufahamu.
👉Utakuwa una uchua uume wako kwa maji ya uvugu vugu(ndani ya dk 15).
👉Kisha ndo una Chua uume kwa mafuta hayo, uliyo andaa.
👉Hakikisha haumwagii, maana ni hatari na haifai(Utakuwa mwanachama was nyetooz).
👉 Tumia wiki 2- 4 Natumai Utaona mabadiliko. 🙏
 
👉Kitunguu swaumu robo, Kisha vitwange mpaka vilainike.
👉Kaanga katika sufuria hayo mafuta na vitunguu swamu.
👉Mpaka vibadilike rangi, Kisha acha yapoe na uhifadhi katika chupa ndogo yenye mfuniko.
👉Kabla ya kuanza kutumia dawa, pima ukubwa na urefu was uume wako- ili ufahamu.
👉Utakuwa una uchua uume wako kwa maji ya uvugu vugu(ndani ya dk 15).
👉Kisha ndo una Chua uume kwa mafuta hayo, uliyo andaa.
👉Hakikisha haumwagii, maana ni hatari na haifai(Utakuwa mwanachama was nyetooz).
👉 Tumia wiki 2- 4 Natumai Utaona mabadiliko. 🙏
Watu na experience zenu, sema ni vizuri ajifunze kwa aliewahi pona tatizo
 
Jikubali mkuu hayo mavitu unatafuta yatakuletea shida.
Na wengi wanaohibiri kutibu hizo mambo ni matapeli.Utaliwa vihela vyako bure.Jikubali,ndo ulivyo umbwa tulia,maisha yana mengi mazuri zaidi ya mdushe mkubwa.
Wala usipate stress za kutafuta hela ili upendwe na wanawake.Tafuta hela kwa manufaa yako.Utampata tu wa kukukubali ulivyo.
 
Tallbata tafuta mafuta ya mzaituni MLS 10, - chupa 3.
👉Kitunguu swaumu robo kilo, Kisha vitwange mpaka vilainike.
👉Kaanga katika sufuria hayo mafuta na vitunguu swamu.
👉Mpaka vibadilike rangi, Kisha acha yapoe na uhifadhi katika chupa ndogo yenye mfuniko.
👉Kabla ya kuanza kutumia dawa, pima ukubwa na urefu was uume wako- ili ufahamu.
👉Utakuwa una uchua uume wako kwa maji ya uvugu vugu(ndani ya dk 15).
👉Kisha ndo una Chua uume kwa mafuta hayo, uliyo andaa.
👉Hakikisha haumwagii, maana ni hatari na haifai(Utakuwa mwanachama was nyetooz).
👉 Tumia wiki 2- 4 Natumai Utaona mabadiliko. 🙏
Hii mbinu nusu ya wanaume wataenda kujaribu,sema tu matokeo ndo hawataleta ila ukweli ni kwamba hata ufanye nini hutaongeza hata robo sentemita.
 
Mzee hatari sie wenye vibamia tunadharauliwa sana na hawa wanawake. Mwenzio nilienda mpaka mbeknyera huko kwa mganga nikuze kibamia changu lakini hamna lolote bado kipo vile vile.
Mzee tujikubali tuu imekula kwetu kwenye hiyo sector
Wabongo kwa kukatishana tamaa mpo vizuri.

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
 
Sawasawa, tayari zinasomeka vizuri kabisa kuanzia moja hadi sate😃.. enhe
nna imani ni rula ya aina hii😂
images (13).jpeg
 
Hii mbinu nusu ya wanaume wataenda kujaribu,sema tu matokeo ndo hawataleta ila ukweli ni kwamba hata ufanye nini hutaongeza hata robo sentemita.
Shida una ujuuaji wa kipuuzi, ngoma huwa Ina ongezeka Kutokana na mzunguko mzuri wa damu.
👉Hiyo Tiba Ime saidia wengi, nilio ona wame tibiwa.
👉Tena hapo Sija semea kitu myegea, Kama hujui tulia
 
Back
Top Bottom