Nina matatizo ya mgongo

Nina matatizo ya mgongo

Kizoda

Senior Member
Joined
Mar 5, 2022
Posts
130
Reaction score
302
Vijana naombeni msaada Mimi ni kijana
Nina umri wa miaka 23

Lakini cha ajabu nasumbuliwa Na matatizo ya mgongo pamoja Na Shingo
Nilikwenda hospitali walisema Sina tatizo lolote mgongoni

Yaani APA nilipo siwezi kusimama kwa mda mrefu au kunyanyua kitu chochote kiwe cha kilo ndo au kubwa Sasa tatizo hili sijui kama limetokana Na nini

Sio mgongo tu hata mkono wangu ni kisukuma kitu chochote kile Na hisi kama huku mabegani Kuna kitu Kina Taka kutoka Na shindwa kuelewa matatizo Haya Yana tokana Na nini

Na pia Nina tatizo la mkazo wa Shingo ni kikaa wima Sana mishipa ya shingo ina kaza
Je kulalia sana mgongo kwa muda mrefu Kuna weza kuleta matatizo Haya?

Au kutumia simu kwa muda mrefu pia Kuna weza leta matatizo Haya.
 
Jaribu kutolalia godoro linalobonyea sana. Ikiwezekana lala sehemu flat kwa matandiko yoyote ila usitumie godoro kwa muda wa wiki moja uone kama kuna madiliko chanya. All in all pole sana, ni imani yangu utapona haraka.
 
Pole, itakuwa tatizo la UTI wa mgongo au shingo.

Angalia kazi unazofanya mbona wewe mdogo uugue maradhi ya watu wazima.

Tatizo limeanza ukiwa na umri gani
 
Pole kwa maradhi, kwanza napenda kujua jinsia yako. Lkn pia je umewai kushiriki mapenzi kwa njia ya haja kubwa?, unapata choo kigumu sana au huwa unatumia muda mrefu kuchuchumaa ktk shimo la choo.
 
Vijana naombeni msaada Mimi ni kijana
Nina umri wa miaka 23
Lakini cha ajabu Na sumbuliwa Na matatizo ya mgongo pamoja Na Shingo
Nilikwenda hospitali walisema Sina tatizo lolote mgongoni
Yaani APA nilipo siwezi kusimama kwa mda mrefu au kunyanyua kitu chochote kiwe cha kilo ndo au kubwa Sasa tatizo hili sijui kama limetokana Na nini
Sio mgongo tu hata mkono wangu ni kisukuma kitu chochote kile Na hisi kama uku mabegani Kuna kitu Kina Taka kutoka Na shindwa kuelewa matatizo Haya Yana tokana Na nini
Na pia Nina tatizo la mkazo wa Shingo ni kikaa wima Saana mishipa ya shingo ina kaza
Je kulalia saana mgongo kwa mda mrefu Kuna weza kuleta matatizo Haya?
Au kutumia simu kwa mda mrefu pia Kuna weza leta matatizo Haya
Nilikua Nina shida kama yako, ila Mimi ni kuumwa kwa mgongo tu...

1. Badili godori unalolalia...
Lalia godoro gumu.

2. Fanya mazoezi
Nilianza kukimbia na kufanya push up.

3. Mwisho wa mazoezi (kukimbia) fanya mazoezi madogo yanayohusu mgongo (Lordosis)

4. Angalia "your seating posture" uwe unatengeneza ordosis.

Ukifanya haya LAZIMA UPONE.

Hata Mimi nilikuwa na mgongo kama Mzee yaani full maumivu.
Nilivyoanza haya mazoezi NILIPONA NA NIMESAHAU.

Na tokea hapo NAPENDA SANAA MAZOEZI.

Na yotee haya NILIJIFUNZA GOOGLE...!!!

#YNWA
 
Vijana siku hizi mambo mengi. Si umesikia wengine wanakinga nnya kwa mdomo wapate hela ya kuishi
 
Vijana naombeni msaada Mimi ni kijana
Nina umri wa miaka 23
Lakini cha ajabu Na sumbuliwa Na matatizo ya mgongo pamoja Na Shingo
Nilikwenda hospitali walisema Sina tatizo lolote mgongoni
Yaani APA nilipo siwezi kusimama kwa mda mrefu au kunyanyua kitu chochote kiwe cha kilo ndo au kubwa Sasa tatizo hili sijui kama limetokana Na nini
Sio mgongo tu hata mkono wangu ni kisukuma kitu chochote kile Na hisi kama uku mabegani Kuna kitu Kina Taka kutoka Na shindwa kuelewa matatizo Haya Yana tokana Na nini
Na pia Nina tatizo la mkazo wa Shingo ni kikaa wima Saana mishipa ya shingo ina kaza
Je kulalia saana mgongo kwa mda mrefu Kuna weza kuleta matatizo Haya?
Au kutumia simu kwa mda mrefu pia Kuna weza leta matatizo Haya
kuna mtu amekuuliza unapata choo vema,je unafanya kazi za aina gani?Na ushaur wa godoro zingatia.Yote yakifeki njoo inbox
 
Pole kwa maradhi, kwanza napenda kujua jinsia yako. Lkn pia je umewai kushiriki mapenzi kwa njia ya haja kubwa?, unapata choo kigumu sana au huwa unatumia muda mrefu kuchuchumaa ktk shimo la choo.
Apana
 
Nilikua Nina shida kama yako, ila Mimi ni kuumwa kwa mgongo tu...

1. Badili godori unalolalia...
Lalia godoro gumu.

2. Fanya mazoezi
Nilianza kukimbia na kufanya push up.

3. Mwisho wa mazoezi (kukimbia) fanya mazoezi madogo yanayohusu mgongo (Lordosis)

4. Angalia "your seating posture" uwe unatengeneza ordosis.

Ukifanya haya LAZIMA UPONE.

Hata Mimi nilikuwa na mgongo kama Mzee yaani full maumivu.
Nilivyoanza haya mazoezi NILIPONA NA NIMESAHAU.

Na tokea hapo NAPENDA SANAA MAZOEZI.

Na yotee haya NILIJIFUNZA GOOGLE...!!!

#YNWA
Asante
 
Vijana naombeni msaada Mimi ni kijana
Nina umri wa miaka 23

Lakini cha ajabu nasumbuliwa Na matatizo ya mgongo pamoja Na Shingo
Nilikwenda hospitali walisema Sina tatizo lolote mgongoni

Yaani APA nilipo siwezi kusimama kwa mda mrefu au kunyanyua kitu chochote kiwe cha kilo ndo au kubwa Sasa tatizo hili sijui kama limetokana Na nini

Sio mgongo tu hata mkono wangu ni kisukuma kitu chochote kile Na hisi kama huku mabegani Kuna kitu Kina Taka kutoka Na shindwa kuelewa matatizo Haya Yana tokana Na nini

Na pia Nina tatizo la mkazo wa Shingo ni kikaa wima Sana mishipa ya shingo ina kaza
Je kulalia sana mgongo kwa muda mrefu Kuna weza kuleta matatizo Haya?

Au kutumia simu kwa muda mrefu pia Kuna weza leta matatizo Haya.
Tumia dawa hii AloeTFCG
inaweza kusaidia, kuponya, kutibu au kuzuia ...

Kuuma Misuli

Ugonjwa wa Asidi Reflux (Reflux Acid)

Ugonjwa wa Arthritis

Pumu

Fizi za Kutokwa na damu

Majipu

Ugonjwa wa utumbo

Saratani

Cholesterol

Ugonjwa wa Uchovu wa muda mrefu

Kuvimbiwa

COPD

Ugonjwa wa Crohns

Ugonjwa wa ngozi

Kisukari

Diverticulum

Eczema

Fibromyalgia

Malengelenge sehemu za siri

Gout

Homa ya nyasi

Bawasiri na Rundo la Kutokwa na Damu

VVU

Shughuli ya kuzuia virusi na uvimbe: Vitendo hivi vinaweza kutokana na athari zisizo za moja kwa moja au za moja kwa moja. Athari ya moja kwa moja ni kutokana na kusisimua kwa mfumo wa kinga na athari ya moja kwa moja ni kutokana na anthraquinones. .anthraquinone aloin huzima virusi mbalimbali vilivyofunikwa kama vile herpes simplex, varisela zosta na influenza.

Shinikizo la damu

Cystitis

Ugonjwa wa Utumbo unaowaka (IBS)

Maumivu ya Viungo

Mawe kwenyeFigo

Ini

Lupus

Malaria

Migraine
.Milia

Pancreatitis

Psoriasis

Ugonjwa wa Rhematism

Scalds

Matatizo ya Sinus

Athari za Ngozi kutoka kwa Tiba ya Mionzi

Tendinitis

Neuralgia ya Trigeminal

Colitis ya Vidonda

Vidonda vya Mdomo

Vidonda vya Ngozi

Vidonda vya Tumbo

Mshipa wa Varicose

Inaweza kusaidia mifupa yako kuwa na afya kadri umri unavyosonga

Husaidia misuli yako kufanya kazi vizuri

Afya ya usagaji chakula

Bidhaa hii ina virutubisho kama vitamin 12 ikiwemo B12, madini 20 , amino acid 18 na enzymes.

.
 
Back
Top Bottom