Alex Fredrick
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 680
- 1,338
Ndugu wanajopo!
Toka awamu ya kwanza ya Mwalimu JK Nyerere hatujapata kuona Kiongozi mwenye Visionary kama Rais wetu mpendwa Magufuli.
Rais wa awamu ya pili Mzee Mwinyi alisema hili siku moja kwamba wewe mwezetu ni mfano wa kuigwa kwa mambo makubwa uliyoyatenda ndani ya miaka mitatu tu ambayo sisi miaka yetu thelathini hatujafua dafu.
Mie natafakari sana Siku Rais Magufuli atakapomaliza awamu yake ya pili na hatimaye akaja Rais mwingine ambaye atakuwa hovyo,hapo ndo itakuwa tena kirio na kusaga meno kwa maana Taifa tena linarudi nyuma.Tafakari
Sent using Jamii Forums mobile app