Nina mashaka wanateknojia

Avatar

JF-Expert Member
Mar 7, 2012
11,127
11,904
Hivi izi hack na ma app yote ya kuforge, ukiyatumia kwenye kompyuta (hasahasa) hawawezi ku locate upande uliopo na wakakukamata, maana nasikia kuna gereza lipo wapi sijui. Ndo lina lea waizi wa hii fani.

=======UPDATE=======

Kwa sasa hawawezi kunidaka tena...!!!
 
Yap na mie nimeckia hvyo,huwa wanakamatwa na wanawekwa gereza moja kwan wa2 kama hawa ni nouma sanaa kwan wanaweza kuhack hadi password za CIA na FBI kama yule dogo wa miaka 13 walivyomkamata.
 
dogo alifanyaje.Tupe story kiduchu
 
Yap na mie nimeckia hvyo,huwa wanakamatwa na wanawekwa gereza moja kwan wa2 kama hawa ni nouma sanaa kwan wanaweza kuhack hadi password za CIA na FBI kama yule dogo wa miaka 13 walivyomkamata.

lakini ninashaka na teknolojia yetu kama wanaweza ku locate mahali pc yako unaitumia wakakudaba hawa wenye mitandao, am i right?
 
Unaweza kukamatwa, hasa kama unatumia modem. Tujifunze kuheshimu kazi za watu. Ku crack software ni wizi kama wizi mwingine wowote.
 
Kwanza hakuna mtu aliyewahi kwenda jela kwa kutumia software/movie ya wizi, sana sana utashtakiwa kwenye civil court so utadaiwa fidia ma mshtaki, hili lipo zaidi kwenye movie. Risk kubwa zaidi ipo kama unasambaza illegal material.

Technically kuna ugumu kumkamata mtu anayetumia software yako, kwanza ukishaweka tracking yoyote ndani ya software yako hata wateja halali watakukimbia, pia kuna sheria za privacy nchi nyingi utakuwa umevunja sheria ukiweka tracking ndani ya software yako.

Pili hakuna njia ya kumjua anayetumia program fulani ni nani, unaweza ukainasa I.P ya mtumiaji lakini IP itakupeleka hadi kwa ISP wa mtumiaji tu, na ISP sio rahisi kutoa data za mtumiaji kiholela so ni process ngumu ambayo in the end haina faida kwa watengeneza software.

Msidanganywe na movie/TV, jamaa anaingiza data kwenye PC ramani ya mhalifu inaonekana mara moja, doesnt work like that.
 
kukamwata ni rahisi sana kwa tekno mfano mtu anaconnect net hadi masaa matano yuko na IP. ile ile kwa nini uckamwatwe???????????? ila kwa hapa bongo wa2 ambao wanaweza kuwakwepa hao jamaa ni wachache sana mfano mtu anatumia line RUIM au UIM kama sasatel unategemea nini sasa
 
Tunatakiwa kutumia VPN kwasasa ama vipi mkuu!?
 
THANKS,
USEFUL MKUU

Kwanza hakuna mtu aliyewahi kwenda jela kwa kutumia software/movie ya wizi, sana sana utashtakiwa kwenye civil court so utadaiwa fidia ma mshtaki, hili lipo zaidi kwenye movie. Risk kubwa zaidi ipo kama unasambaza illegal material.

Technically kuna ugumu kumkamata mtu anayetumia software yako, kwanza ukishaweka tracking yoyote ndani ya software yako hata wateja halali watakukimbia, pia kuna sheria za privacy nchi nyingi utakuwa umevunja sheria ukiweka tracking ndani ya software yako.

Pili hakuna njia ya kumjua anayetumia program fulani ni nani, unaweza ukainasa I.P ya mtumiaji lakini IP itakupeleka hadi kwa ISP wa mtumiaji tu, na ISP sio rahisi kutoa data za mtumiaji kiholela so ni process ngumu ambayo in the end haina faida kwa watengeneza software.

Msidanganywe na movie/TV, jamaa anaingiza data kwenye PC ramani ya mhalifu inaonekana mara moja, doesnt work like that.
 
Unaweza kukamatwa, hasa kama unatumia modem. Tujifunze kuheshimu kazi za watu. Ku crack software ni wizi kama wizi mwingine wowote.
Ha ha ha ha .....!!!
Mkuu hapana.
 
Back
Top Bottom