Nina mashaka, Pengine Lowassa ndio 'Goli la Mkono'

Nina mashaka, Pengine Lowassa ndio 'Goli la Mkono'

Interest

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2015
Posts
3,434
Reaction score
7,091
Wakuu,

Haya ni maoni binafsi na yanaongozwa na hisia za ndani nisizoweza kuzi-control bali kuzishirikisha kwenu nanyi mtazame;

Kutokana na kasi ya Upinzani kushamiri bila kuchoka tangu Mwaka 2005, ambayo ilisababisha CCM kupata mtikisiko mkubwa na kukaribia kuachia madaraka kwenye Uchaguzi mkuu wa 2010, katu haiwezekani wakawa wame-relax na kurudia makosa..

Ninachojaribu kusema, vuguvugu na nguvu ya upinzani katika Bunge la 10, Muungano wa vyama vya Upinzani vyenye nguvu miaka michache baada ya uchaguzi mkuu wa 2010, Uenezi usio na shaka, Upinzani kwenye majimbo mengi zaidi nchini na mikakati imara ya kisiasa waliiyonayo Upinzani , CCM haiweze kurelax na kurudia makosa...

Imetengenezwa Sinema, ya kutuaminisha kwamba Mheshimiwa Lowassa, one of the prominent political figures from CCM, is no more 'wanted' in the Party despite nguvu kubwa ya ushawishi aliyonayo ndani na hata nje ya chama.. CCM haitaki tena kurelax na kurudia makosa..

This to me feels like a bail ambayo wapinzani wameshindwa kuing'amua na mpaka sasa wanacheza ngoma ya Chama tawala, ambacho kimekoma kurelax na kurudia makosa..

Hisia zangu zinachagizwa na Matamshi ya katibu wa Uenezi na hata Mwenyekiti wa CCM - Taifa, kwamba CCM itashinda hata kwa 'Goli la Mkono'.

Bahati mbaya, tafsiri ya Goli la mkono mpaka sasa wengi wameiona kama 'wizi wa kura', lakini kwangu ni zaidi ya hivyo; Safari hii naamini inatumika njia ya ku-win trust ya wapinzani kwa mtu wao (pandikizi), kupitia movie iliyotungwa na kuanza kutekelezwa kwa muda mrefu nao CCM - Hili ndio Goli la Mkono haswaaa!

Hisia zangu zisipuuzwe!
 
Inaweza kua kweli, ila hatobaki salama
 
Upinzania ni mnara wa Babeli. Mass confussion!
 

Attachments

  • 1438704747668.jpg
    1438704747668.jpg
    15.1 KB · Views: 1,151
Kwa hilo haliwezekani kabisa kumbuka kwa sasa ccm hawako wamoja tena na wameshamjeruhi vya kutosha
 
Hivi nyie wenye akili ndogo mnadhani angekaa kimya badala yake angeletwa lowassa badala ya magufuli
 
Lowasa haongei kujivunia ukawa, ila anaongea kuwasifu ukawa., kama alitumwa aje atoe zawadi. Ndo ivyo wa TZ !
 
Viva Politics!!:smokin::smokin::smokin::A S angry::bathbaby::bathbaby:
 
Lowasa anazirudia phrases za magufuli., "sintowaangusha" "mchakamchaka, alinselema". Tanzaniaaaa!!!
 
Hakuna mtu anayeweza kufanya suicidal movie km hiyo hlf akabaki salama.
Lowassa need deep inside to be the president of this country , usitie watu hofu za kizushi.
 
Movie hiyo haiko hivyo. Lowasa alikuwa na nia ya dhati ya kuingia Ikulu. Sasa walivyomkata hata wao hawakutaka atoke na waliamini hatatoka. Kumbe haikuwa hivyo. Naamini mtanange utakuwa mkali sana.
 
Hakuna mtu anayeweza kufanya suicidal movie km hiyo hlf akabaki salama.
Lowassa need deep inside to be the president of this country , usitie watu hofu za kizushi.

Perhaps, that's how they want you to see it!

Tuendelee kufikiri pamoja..
 
Movie hiyo haiko hivyo. Lowasa alikuwa na nia ya dhati ya kuingia Ikulu. Sasa walivyomkata hata wao hawakutaka atoke na waliamini hatatoka. Kumbe haikuwa hivyo. Naamini mtanange utakuwa mkali sana.

Mmmh! Let's wait and see.. Lakini kama walijua ana nia ya 'dhati' ni kwanini wasimsafishe ili apeperushe bendera?! Ina maana hawakukokotoa athari za kumkata? Au walijaribu?

Tuzipe nguvu na hisia zangu pia.. Ili tusiwe shocked kama ndivyo ilivyo!
 
Back
Top Bottom