Nina mashaka, Pengine Lowassa ndio 'Goli la Mkono'

Nina mashaka, Pengine Lowassa ndio 'Goli la Mkono'

Tuache Hayo ya EL kupandikizwa au uhalisia wa dhamira yake, kwani na nyie mlipata mgawo wake? Hivi mna habari yoyote ya Mahali anakokwenda Kamanda Profesa Ibrahim?
 
Lowassa kaenda chadema kuwavuruga. Hiyo ni trick ya ccm...lowasa awavuruge weeee washindwe kufanya la maana. Ukawa nao hawajashtuka tu...

Mawazo yenu tu hayo yakipuuzi
 
Lipumba kala hela an movie ya kujiuzulu Jana ilipobuma ..wazee walikasirika Sana wakampigia wakamuambia kiwa Kama Leo kufikia Sana 8 hangetangaza wangevujisha picha yake ya video akiwa anapewa mzigo

Kuhusu Silaa amejitenga an usaliti...yeye alikataa..kuchukua pesa an kusema bora ale miogoo lakini hawezi kusaliti chadema kwa Ajili ha pesa ...,Ila kuna mzigo ..mkewe bado hakuna uhakika juu ya yeye kuvuta ...lakini it's matter of time ..ishahidi ukitoka dr atakasirika sana ..watu kumuhonga mkewe
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Leo nataka niwaambie ukweli ambao unaweza waudhi wengi. Watu wa kaskazini ni tofauti, sio wasaliti, sio wajinga, mkikubaliana kitu mpaka litimie. Hakuna kurudi nyuma. Makabila mengi hayana elimu, hayana uchumi imara, njaa imetamalaki. Woga na usaliti vimetamalaki. Halaf kaskazini kuna unwritten law, ukisaliti malipo unalipwa hapa hapa duniani. Hakuna kusubiri mungu. Ndo maana watu wengi wana respect
 
Chama tawala ccm kimejitanua sana' mpaka kufikia kusimamisha wagombea urais wawili nchi mzima' slaa una yo akili sana
 
Great thinking. Wapinzani wamekwisha ng'amua hilo, ila wamepigwa pesa. Tizama facial expression zao ktk vikao vyao. What they say isnt their face.

Ama kweli Watanganyika nilini tutafikiri zaidi ya porojo hivi yanayoendelea majimboni wale pia wamepewa pesa uzuri wa WAKATI huwa hauna porojo
 
Propaganda za kupikwa Lumumba hizi ni shidaaaaa. October ndio itajulikana nani ni nani zo UKAWA wameendelea kuimarika plus kudhoofika kwa CCM
 
HIVI MTAJISIKIAJE MWISHO WASIKU MAGUFURI ANASHINDA ALAFU LOWASA ANAPIGA MAKOFI UKU AKIMFUATA KIKWETE NA KUMKUMBATIA ANAGEUKA KWA MAGUFULI ANAMPONGEZA KWA SHANGWE ZOTE ANAZAMA MFUKONI NA KUTOA KADI YA CHADEMA ANAMRUSHIA MBOWE NA KUMWAMBIA ISHAMALIZA KAZI YAKE KISHA WAZEE HAO MAKADA WA CCM WANACHEKA KWA NGUVU NA KUSEMA"Mlikuwa mtupige bao mwaka huu kama mngemsimamisha slaa uku magufuli"
LAKINI MKUBWA DAWA MBINU IMETUOKOA
 
Nilipenda sana hotuba za dr slaa hasa kushusha bei cement kila mtanzania ajenge nyumba
 
Naendelea kushangaa wanaopuuza mtikisiko uliomo ndani ya UKAWA. Hivi Prof Lipumba na Dk Slaa wote ni 'wapuuzi' kwa maamuzi yao kweli?!

GOLI LA MKONO litafakariwe sana... Kuna wakati huwa napata hisia kwamba Mheshimiwa Mbowe na baadhi ya Pillars za Upinzani hawapo serious na wanachokihubiri, na si ajabu wao ndio wakwamishaji wakuu wa Ukombozi. Nani anajua, labda wanaigiza tu na kuendelea kuwapa Ushindi CCM kila Chaguzi Kuu zinapofika..

Siasa zina mambo mengi sana..
 
Eti wanaCCM ndio wanakuja kutushtua kuwa like goli la mkono ni lowasa,hahahaaaaaaaa!Mbavu zangu jamani,hivi si msubiri yatimie ndio muicheke ukawa,sasa mnawashauri ili iweje?Mwaka huu mtatembelea mikono kwa kuweweseka
 
Una ushabiki mbaya sana... Kila anayetoa hoja dhidi UKAWA/Upinzani ni mwanaCCM?

Una umri gani?!
 
Magamba yanajiuliza na kujijibu yenyewe tekenyaneni mkalale,
Jaribuni kuanzisha Uzi kumjenga mgombea wenu Lowasa hamumwezi
 
Naendelea kushangaa wanaopuuza mtikisiko uliomo ndani ya UKAWA. Hivi Prof Lipumba na Dk Slaa wote ni 'wapuuzi' kwa maamuzi yao kweli?!

GOLI LA MKONO litafakariwe sana... Kuna wakati huwa napata hisia kwamba Mheshimiwa Mbowe na baadhi ya Pillars za Upinzani hawapo serious na wanachokihubiri, na si ajabu wao ndio wakwamishaji wakuu wa Ukombozi. Nani anajua, labda wanaigiza tu na kuendelea kuwapa Ushindi CCM kila Chaguzi Kuu zinapofika..

Siasa zina mambo mengi sana..

ni ukweli ulio halisia, GOLI LA MKONO NI KUPITIA LOWASA, weng watabisha na hawatofahamu lakin tusubir tuone.
 
Back
Top Bottom