Bigteacher
JF-Expert Member
- Jan 31, 2014
- 458
- 192
Ukawa wana roho ngumu sana hivi bado hamjafa tu
teh teh teh
teh teh teh
Nami naanza kuliona. asubuhi, Mlutheri, jioni CCM Oyeee! mashaka matupu.
Hiyo movie director ni nani?
Nami naanza kuliona. asubuhi, Mlutheri, jioni CCM Oyeee! mashaka matupu.
Hapo ndo mtaelewa maana halisi ya kujifunga bao la mkonoSi bure mkuu! Na huyo Sumaye naye maana alianza kuibua ishu ya Kaskazini.