Nina mashaka na wanaoitwa wanyonge

huko Chato amepeleka miradi ya kufa mtu mpaka airport na uwanja wa mpira wakati hata timu ya kijiji hawana. tunataka tuone Wanyonge wakitumia sasa hiyo airport
Ile airport inayojengwa hapo soon wataanza kufugia nguruwe.
 
Watu wenye kipato cha chini ndo tunaweza kuwaita wanyonge, sasa huwezi kudai unawasaidia wanyonge kwa kuwabana wale wenye kipato cha kati, mfano watumishi wa umma, wafanyabiashara na wajasiriamali. Kwa sababu watu wa daraja la kati wakifanikiwa na kufanya matumizi ndo hapo kula ya wanyonge itapatikana, vinginevyo utajikuta unatengeza kundi moja kubwa la watu wanyonge tupu...
 
Wanyonge ni wajinga na kwa bahati mbaya ndio kundi kubwa la Watanzania
Siwalaumu sana kwani hawakujitakia ila walitengenezewa huo unyonge. Mfumo wa elimu kusoma kwa lugha ya kiswahili ktk elimu ya msingi alafu ngoma kubadilika na kuwa kiingereza ktk hatia za mbele ni chanzo kimojawapo cha huu unyonge. Kutokujua kusoma kiingereza ni chanzo cha ujinga
 
Wewee ndo pumba kabisaaa unainyenyekea hela yako hiyo ni lazima Rais ahakikishe usalama wa walipa kodi wake mana ndio wanaomuweka madarakani hayo maswala ni lazima ayatekeleze kwa lazima na sio ombi watanzania tumerogwa na nani?
 
Kila la kheri! Alitutesa sana watumishi wa umma, miaka mitano mshahara ule ule wa 2015! Kuna watu katili sana Duniani.
Hee kumbeee good idea
 
Ubarikiwe
 
Waendelee kujiita wanyonge wajanja wanakula mema ya nchi
 
Hapana ndugu umeongea UKWELI MTUPU!
wanyonge ni watu wa ajabu sana, tunawaona, tunaishi nao kwenye jamii zetu.
Huu unyonge ndio uliwapa wazungu wepesi wa kututawala enzi za ukoloni, na kuendelea kutawaliwa na weusi wenzetu hadi leo.
Ili tupige hatua tunapaswa kupambana na huu unyonge, unyonge sio sifa, unyonge ni ujinga na upumbavu!
 
Kongole mkuu, kuna shida mahali, yaani mtu anafurahi kuwa masikini/mnyonge!!
Jiulize baada ya kuwa mnyonge then utafanyiwa nini au utafurahi kusikia tajiri mmoja kafilisiwa au kaporwa pesa zake
 
U hit the bull! Ahsante sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…