Nina mashaka na wanaoitwa wanyonge

Sifa kubwa ya 'wanyonge' ni watu wasiojielewa.. wanajua shida ni kiungo mojawapo kwenye mwili. Hawajui nini kinatakiwa au kilitakiwa kufanyika, hawajui kazi ya watawala wao ni nini.

Ndio maana Marekani walitilia shaka uwezo wa 'wanyonge' kuchagua kiongozi wa nchi, wakaamua watu wachache wenye busara(electoral college) ndio wachague Rais!
 
Tate Mkuu
ilifikia kipindi baadhi ya hao wanyonge wanauliza kuwa je mshahara wa mwezi huu watumishi watapata!?
ikabidi nikauliza,kwanini unauliza hvyo?
akanijibu,kwani huoni kama magufuli amekufa!
nikauliza kwani kifo cha magufuli na mshahara vinahusiana nini?
akakosa jibu!
ikabidi nimjibu kuwa kifo cha magufuli akiathiri mshahara!
tena hata yeye mwenyewe marehemu wa mwezi huu atauvuta swafi!
tena zile hela siyo zake,ni zetu wote!
akabaki kubung'aa tu!
 
OKW BOBAN SUNZU
Hiyo Chato umeiona ilivyo mkuu!?
cha ajabu timu ya mpira ipo geita,ila uwanja plan ilikuwa kuujenga Chato!
Ni kama timu ya Yanga iwe mtaa wa Twiga Ilala uwanja ujengwe vikindi pwani!
Kibaya zaidi wale waandish wa ITV wakiwa live wamepasifia utafikir pepon
 
Your argument is too general kana kwamba umeongea na wao!
 
Mungu fundi bwana yani mtu kameza ulimi fasta
 
Kunamtu mmoja leo kaniambia kipindi cha kikwete ilikuwa inapita miezi miwili bila mshahara...aisee tz wajinga ni wengi sana
 
Hapa nakupa tano mkuu.Jiwe anajifanya raisi wa wanyonge wakati yeye hana unyonge wowote.Ni kipindi cha kuanza kuibua waziwazi upigaji wa Jiwe .Mimi naanza na zile Trilioni 1.5 zilizoibuliwa na Profesa Assad ambazo hazina maelezo mpaka leo!
 
huko Chato amepeleka miradi ya kufa mtu mpaka airport na uwanja wa mpira wakati hata timu ya kijiji hawana. tunataka tuone Wanyonge wakitumia sasa hiyo airport
Ndio maana Sina uchungu na huu msiba, aende tu. Je angehudumu miaka 10 si angepeleka kila mradi Chato? Alikuwa mbinafsi sana. Maombi yetu Mungu ameyapokea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…