Sina hakika km kuna kuna kijjana wa karne hii ya facebook revolution anaweza kusimama kifua mbele na kunadi mema ya CCM, maana kila mmoja anayajua ila kwa uchache wake na thamani yake hayawezi kuvuma mbele ya maovu ya CCM na wana CCM. maovu ya CCM ni mengi na yanagharama kubwa kwa taifa na mtu mmoja mmoja, hata km sikipendi chadema yanipasa kukifuata kwa kuwa nafafuta mbadala wa CCM na sioni mwingine, kiu yangu ni change for success of my life and my nation! Naweza nisifaidi mimi lkn misingi yake kizazi changu kikafurahia, africa kwa sasa amani yake ipo likizo kisa ni rasilimali zake hazina tija kwa watu husika mifano ni mingi hapa sitaki kutaja, maana nikiwataja ni DRC pekee inayotushinda kwa rasilimali za ardhini, huwezi kuamini wale wote wenyema PhD kule ktk cabinet hakuna anaeweza kusema neno juu ya hili, siku mwenyezi mungu akinipa uwezo nitaangalia uwezekano wa kuisimamisha mikataba hii ya uporaji wa mali, japo najua sintoshinda kesi yeyote kwa maana nafahamu mikataba yote ina baraka za mahakama kuu divisheni ya biashara, lkn japo naweza kuwa nimeonesha njia kizazi kijacho. Mungu jaalia CCM iondeke madarakani. Aamin.