Nina mashaka na uwezo wa CHADEMA kuongoza SERIKALI 2015

Wabunge 23 watainyima vipi serikali usingizi. Nyie endeleeni ya fujo zenu, wananchi wenye akili zao wamesha wasoma. Mtabaki na hilo genge lenu la wavuta bangi wasio jua hata kupiga kura.

Tatizo hawa ccm na wakuu wa mikoa wanafikiri CHADEMA ni hao 23! Kama walikuwa ni watu wa kujifunza basi matukio ya Mbeya na Arusha yangekuwa somo tosha. Kwa mtu kama Kandoro kusema 'atawashughulikia' hao anaowaita wanasiasa nadhani anawezekeza kwenye hasira za watu. Next time akiwachefua watu wa Mbeya naomba Sugu asiende ili tuone jeuri yake.
 
siyo inainyima usingizi serikali ya magamba?

Pinda mwenyewe kasanda kuwa serikali haipati usingizi na alivyo mvivu wa kufikiri anasema 7bu ni cdm ila ukifikiria kwa kina sio cdm ni wao wenyewe ccm hawajui kula na kipofu, je kama wangeboresha maisha ya mtz na kuacha kukumbatia ufisadi cdm wangepata wapi 7bu yakuwakosoa
 
Wabunge 23 watainyima vipi serikali usingizi. Nyie endeleeni ya fujo zenu, wananchi wenye akili zao wamesha wasoma. Mtabaki na hilo genge lenu la wavuta bangi wasio jua hata kupiga kura.

Wewe unabisha nini wakati pinda mwenyewe kakubali mbele ya bunge au yeye alitumia masaburi na wewe ukatumia saburi
 
Katika nyanja ya kuongoza CCM na serikali yake hilo limewashinda, wanchofanya sasa ni kutawala. Uongozi si maguvu na ubabe bali ni ushawishi wako kwa wananchi ili wakusikilize na kuamini unachowaambia.

CCM imekuwa ikiwadanganya wananchi uchaguzi baada ya uchaguzi na kama ilivyo hata kwa mtoto wa miaka miwili kila siku ukimdanganya utamletea pipi itafikia mahali hata kuamini tena na ushawishi wako kwake utaisha.

CCM inachotakiwa kufanya si kukabiliana na CDM, kwa sasa CDM ina upper hand, kwami wananchi hawajawahi kuiweka madarakani na kuipima hivyo wanamatumaini kuwa huenda ikawa mkombozi wao, CCM wanachotakiwa kufanya ni kutatua changamoto za maisha zinazowakabili wananchi kwa sasa, ongezeko la vijana wasio na ajira ni threat ambayo kwa CCM ni kama kirusi cha ukimwi kinacho ji-multiply, muda ukifika ARV(dola) haitasaidia tena kuongeza uhai na hiyo itakuwa hatma ya CCM.

Thenx sana mkuu umewaambia jambo ambalo ni rahisi kuelewa alihitaji tafakari kubwa sana hofu kwenu magamba mtaufanyia kazi ushauri?
 
Hivoo sikujua, kwa hiyo CDM wako juu kimkakati mpaka kuiba kura kuliko ccm?

isitokee uchaguzi fulani hapa CDM wakashindwa, halafu mkasema CCM wameiba kura , wakati KIMKAKATI CDM wako juu ya CCM. Think!
Aisee, ndiko akili ilikokuelekeza,!! Big up kaka.
 
kwalo luteni,
mkuu nakubaliana nawe kwani hata kwenye uchaguzi mdogo huko Igunga CCM ilipozidiwa nguvu serikali ikaingilia kati kwa kutumia mawaziri
mkuu wa mkoa na wa wilaya, polisi, FFU na usalama wa Taifa kupambana na Chadema kwa maana CCM ilishazidiwa nguvu.
 
Chadema mpaka sasa wamefanya kazi nzuri sana kikosesha usingizi serikali, wote tunajua hawa jamaa hawafanyi kazi bila shinikizo na kama sio harakati za cdm wangelala fofofo hadi 2014 kisha waje kutulaghai na vijimiradi vya kampeni.
 
Wabunge 23 watainyima vipi serikali usingizi. Nyie endeleeni ya fujo zenu, wananchi wenye akili zao wamesha wasoma. Mtabaki na hilo genge lenu la wavuta bangi wasio jua hata kupiga kura.

...mkuu ebu ipe nafasi akili yako ifikiri vizuri,hao unao-waona kuwa ni genge la wavutabangi ni watanzania kama wewe na akuna hata mmoja kati yao aliyezaliwa akivuta bangi.Ukiiacha akili yako ifikiri vizuri utapata jibu la maswali hiya,2. JE NI KWA NINI HAWA WATANZANI WENZETU WAMEFIKIA HATUA YA KUKATA TAMAA YA MAISHA NA KUJIINGIZA KTK UVUTAJI WA BAGI?,JE NI KWELI WATANZANI WALIOIIPIGIA CHADEMA KURA, MWANZA,ARUSHA,MBEYA,IRINGA NK NI WAVUTA BANGI?...
 
CDM hawana lolote zaidi ya fujo na udini. Hawatafika kokote labda waolewe na CCM.

the last time i checked ccm ndio huanzisha fujo na udini na ukabila ni sera ya ccm tena mwenyekiti na vuvuzela nepi wakiongoza
 
Hivoo sikujua, kwa hiyo CDM wako juu kimkakati mpaka kuiba kura kuliko ccm?

isitokee uchaguzi fulani hapa CDM wakashindwa, halafu mkasema CCM wameiba kura , wakati KIMKAKATI CDM wako juu ya CCM. Think!
Mkuu Waberoya lets think positively ninaposema wako juu si lazima kwa kila kitu hadi wizi halafu teacher wabe kushindwa mtihani (uchaguzi) si kuwa wewe mjinga au aliyeshinda ana akili zaidi yako.
 
Cdm ni kama nyimbo za Bongo fleva,, zinavuma na kupendwa hata kama hazina ujumbe wowote lakini hudumu kwa muda mfupi2,,, Staili wanayotumia kuuteka umma na kupanda chuki kwa serikari iliyopo itakuja leta hasara kwa wa Tanzania,, Simekuwa cyo saisa tena bali ni vurugu tuu,, chekeleeni tuu, mtakuja juta, Usione mh,Rais ametulia kama haoni lakini cku atakapo tamka jambo kuhusu hili jambo msije mka mlaumu.
 
Wabunge 23 watainyima vipi serikali usingizi. Nyie endeleeni ya fujo zenu, wananchi wenye akili zao wamesha wasoma. Mtabaki na hilo genge lenu la wavuta bangi wasio jua hata kupiga kura.
Hapo ndipo CCM wanapojidanganya na kutumaini siku hizi jeshi zuri si wingi wa wanajeshi au mizinga ni ubora wa hao wanajeshi na vifaa wanavyotumia.
 
Wabunge 23 watainyima vipi serikali usingizi. Nyie endeleeni ya fujo zenu, wananchi wenye akili zao wamesha wasoma. Mtabaki na hilo genge lenu la wavuta bangi wasio jua hata kupiga kura.

Picha hii inadhihirisha kazi ya mbunge mmoja tu wa Chadema mnayemuita mhuni, na hao watu unaowaita wavuta bangi ndio wanaoifanya serikali isilale, acha Chadema iwe na wavuta bangi 10 kuliko kuwa na watu 100 kama wewe.

attachment.php
 
Watanzania wa leo si wa mwaka 61 propaganda zenu CCM za kuwagawa watanzania zimeshapitwa na wakati na propaganda zenu watu wameshazijua na wamezichoka,watu wanaitaji ukombozi kupitia Chadema chama makini,ndiyo mana Vurugu za Mbeya mmeshindwa kuzituliza mpaka msanii Sugu kaenda kuzituliza,haitajiki kuwa unamadegree ila utu na heshima na haki na kudhamini utu wa mwanadamu ndiyo kitu muhimu ktk jamii kusuruhisha migogoro! Shame on you CCM!
 
Hivoo sikujua, kwa hiyo CDM wako juu kimkakati mpaka kuiba kura kuliko ccm?

isitokee uchaguzi fulani hapa CDM wakashindwa, halafu mkasema CCM wameiba kura , wakati KIMKAKATI CDM wako juu ya CCM. Think!

Unamaanisha kwamba CCM ni magwiji ya mikakati ya wizi wa kura?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom