Nina mashaka na uwezo wa CHADEMA kuongoza SERIKALI 2015 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nina mashaka na uwezo wa CHADEMA kuongoza SERIKALI 2015

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Revolutionary, Jun 14, 2011.

 1. Revolutionary

  Revolutionary JF-Expert Member

  #1
  Jun 14, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 457
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mimi ni mtanzania niliyeichoka CCM, na siamini kama kwelli watanzania tunataka maendeleo kuichekea CCM iendelee kushika hatamu ya nchi.

  Kwa kuwa suala la CCM kuondoka madarakani ni lazima, sasa mbadala wake ni Chadema, chama ambacho kinaonesha matumaini makubwa kwa watanzania, chama kinachofumua mengi ambayo watanzania tulikuwa tumefumbwa macho na kutawaliwa kama mazezeta huku tukiambiwa nchi yetu ni maskini.

  Bila shaka nina imani kubwa na Chadema katika kuikomboa nchi hii, na sina shaka kama si 2015 basi very soon Chadema kitachukua uongozi wa juu kabisa wa nchi , yaani uraisi na kuongoza nchi.

  Tunapozungumzia haya ni Chadema kitatoa watendaji wote wakuu na muhimu pindi kitakaposhika madaraka ya nchi.
  Yaani kuanzia
  - mawaziri
  - makatibu,
  - wizara,
  - Mabalozi
  - wakuu wa idara mbalimbali,
  - mahakimu,
  - wakuu wa mikoa na wilaya.
  na wengineo wengi kwa ukubwa wa serikali yetu, tokea wizara, kanda mikoa hadi wilaya.

  Suala ambalo hula linanijia kichwani mara kwa mara ni KUPWAYA kwa Chadema katika kusimamisha serikari hiyo. Na kwa kuwa mimi hufikiria mbele zaidi na napenda sana kuwa realistic huwa naichukua Chadema namna hii na naitapanya katika serikali kwa ukubwa wake, kwa kweli naona inapwaya, Haswa ukuzingatia kwamba chama hakijajikita katika katika kurecruit wanachama katika ngazi zote za ukubwa wa nchi.

  Chadema kinapwaya si kwa sababu hakina viongozi na wanachama makini na wachapakazi la hasha, Chama kina watu makini, (Kuanzia, Dr Slaa, Mbowe, Tundu Lisu, Zitto Kabwe, Halima Mdee, John Mnyika, Godbless Lema na wengineo wengi) la hasha bali viongozi hawa makini na wenye uwezo mkubwa hawatoshi kufit katika nyadhifa na idara zote na kutengeneza serikali yenye ufanisi na kasi moja. kimsingi kwa idadi yao wanapwaya.

  Ukichukulia mfano tu ile kambi ya upinzani bungeni, inayoongozwa na Mbowe, mgawanyo wamawaziri kivuli katika wizara kivuli hizo ambao ndio unatoa picha ya nani atashika nafasi gani kama Chadema itashika madaraka, waliochaguliwa utagundua kabisa kuwa Chadema hakuna NGUVU KAZI YA KUTOSHA. Kuna wengi ambao ni makini lakini sio 'the best' we can get kwa ajili ya kusimamia maendeleo ya taifa kwa ukubwa wake.

  Wako wanaoweza kuwa mawaziri na viongozi makini sehemu mbali mbali serikalini, kama Zitto Kabwe, Tundu Lissu, Mnyika kiasi, Mbowe, Mdee kiasi........kimsingi hata ninavyoitaja hii list unaona kabisa kwamba tunarun out of options.....nguvu kazi inayohitajika haitoshi. Iitakapokuja katika suala la kuteua Nguvu Kazi kwa ajili ya nyadhifa zote kwa ukubwa wake, naona Chadema inapwaya. Labda waje kutumia kujuana, kitu ambacho hakitaleta tija katika maendeleo (najua Chadema haitafanya hivyo).

  Nadhani, Suala la kurecruit wanachama wapya linahitajika kufanyika, tena kila sehemu hadi vijijini, Chama kirecruit wachapakazi, wanachama makini, kitoe mafunzo na warsha mbalimbali ili kuinspire vijana wengi zaidi na kupata nguvu ya kutosha kuendesha nchi wakati utakapofikia. Bila hivyo kwa kweli naona Chadema kinapwaya jamani, hebu nyie wenyewe semeni.
   
 2. WISDOM SEEDS

  WISDOM SEEDS JF-Expert Member

  #2
  Jun 14, 2011
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 782
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Kwa hiyo unashauri nini?
   
 3. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #3
  Jun 14, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,004
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  ukishaweka hayo maneno kwenye red huna sababu ya kukosoa tena maana yatakuwa hayana maana.
   
 4. Revolutionary

  Revolutionary JF-Expert Member

  #4
  Jun 14, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 457
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mkuu soma paragraph ya mwisho ya article yangu!

   
 5. T

  T.K JF-Expert Member

  #5
  Jun 14, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 345
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mtoa mada kumbuka kuwa ukitoa mawaziri ambao. Ni lazima wawe wabunge kwa ticket ya chama fulani, makatibu wakuu,wakuu wa mikoa na wakuu wa idara mbalimbali hawatakiwi kuwa na itikati za vyama....imekuwa hivyo sbb ya mfumo mbove tulio nao...na kumbuka chini ya serikali ya CDM wakuu wa wilaya watafutwa...so huhitaji kuogopa, tujipange kwa ajili ya kuisuport CDM 2015 maana ndilo tumaini pekee lililobaki
   
 6. BongoLogik

  BongoLogik JF-Expert Member

  #6
  Jun 14, 2011
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 261
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Amesema chadema warecruit wanachama wapya, ila sijamwelewa vizuri
   
 7. h

  hans79 JF-Expert Member

  #7
  Jun 14, 2011
  Joined: May 4, 2011
  Messages: 3,802
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 145
  wasiwasi wako usikie la kuambiwa ngoja uone mwenyewe,tbl wapo kina nani?unaishi kwa ndoto pole sana
   
 8. shegaboy

  shegaboy JF-Expert Member

  #8
  Jun 14, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 214
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Revolutionar
  Wajua kuwa hao wote unaosema ni watendaji katika serikali na jua kitu kimoja serikali sio CCM au CDM tu serikali ni yawote na wale walioko sasa wanaweza endelea wako wengi wenye uchungu na nchi hii. ila wafanyeje wakati wanapelekwa ila siku utakapo sikia CDM imeshika dola utajua kuwa CDM wako wengi na wengio walikuwa wanataka mabadiliko kaka. usijali ni sehemu ya mipango na hakika kila kitu kitakuwa sawa
   
 9. k

  kazuramimba Senior Member

  #9
  Jun 14, 2011
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 107
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  ukimchunguza bata sana hutamla hata kidogo!!
   
 10. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #10
  Jun 14, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 741
  Trophy Points: 280
  Sioni hoja hapa mkuu.
   
 11. shegaboy

  shegaboy JF-Expert Member

  #11
  Jun 14, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 214
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mawaziri wanatakiwa kufanya kazi kiserikali sio kichama, makatibu,mabalozi,wakurugenzi, ila chama chetu kinawafanya wafanye mambo kichama hilo tu na ndio maana watanzania wanataka katiba mpya itaonyesha wewe waziri kazi yako nini, wewe balozi kaziyako nini sio kutumikia chama hapo ndio kwenyeshida jamani
   
 12. BongoLogik

  BongoLogik JF-Expert Member

  #12
  Jun 14, 2011
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 261
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  hujafafanua ni idara zipi ambazo unataka wakuu wake wawe wanachama wa chadema? mashirika, makampuni, taasisi za umma au?
   
 13. Revolutionary

  Revolutionary JF-Expert Member

  #13
  Jun 14, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 457
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hujaelewa nini mdau?

   
 14. d

  dotto JF-Expert Member

  #14
  Jun 14, 2011
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,720
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  mbona baada ya miaka 50 ya uhuru na hao wazoefu ni upumbafu tu.
   
 15. M

  Mkandara Verified User

  #15
  Jun 14, 2011
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Mkuu wangu, Hivi tulipopata Uhuru Nyerere alikuwa na list gani ya watu ambao kwa mwenye kutazama kutoka nje angesema TANU ilikuwa tayari? Tazama serikali za nchi au vyama vipya ktk nchi jirani.. nani alifikiria Kagame ana viongozi tosha kuongoza Rwanda, kina Mseveni, na hata vyama vinginevyo vinavyogombea uongozi nchi hizo wana list gani...

  Chama kinaunda uongozi wa serikali na kila Mtanzania ana wajibu wa kushiriki ktk ujenzi wa nchi yetu sio swala la Chadema pekee isipokuwa Chadema kama serikali itaunda policies na mikakati ya maendeleo ambayo itakuwezesha wewe na watanzania wote kulijenga Taifa hili na sii fikra za ujenzi wa viongozi na serikali kubwa kuwa ndio lengo la mwananchi.

  Vyama vinapogombea uongozi havigombei kuwa na hesabu kubwa ya watu wanaoweza kushika madaraka ktk kila sekta ya uongozi kisiasa. Siasa haina nafasi kubwa zaidi ya kuweka mazingira safi kwa watumishi wa umma na uwezo huo Chadema inao na ndicho wanachogombania kila siku kwa ajili yako wewe na watanzania wote na sii ajili ya chama na uongozi wake.
   
 16. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #16
  Jun 14, 2011
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,007
  Trophy Points: 280
  Serikali ya sasa ya CCM ina watu wenye uzoefu wa miaka mingi,sasawanafanya nini?
   
 17. Revolutionary

  Revolutionary JF-Expert Member

  #17
  Jun 14, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 457
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Haaa haaa du hujanielewa kabisa, au hujasoma kilichoandikwa!
   
 18. Revolutionary

  Revolutionary JF-Expert Member

  #18
  Jun 14, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 457
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Sasa mkuu hilo hatutaki liendelee Chadema kikishika madaraka, kwa sababu watanzania wana mategemeo makubwa sana kwa Chadema, tusijekushindwa kudeliver.

   
 19. Bundewe

  Bundewe JF-Expert Member

  #19
  Jun 14, 2011
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 401
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kumbuka hivyo vichwa vichache vya chadema ulivyovitaja ni sawa na Baraza zima la jk. Ndo maana jk anahitaji mawaziri 60 kuunda serikali wakati chadema wanahitaji wasiozidi 20. Kukuondoa wasiwasi, mwaka 2015 tutakapounda serikali, wabunge wa Chama Tawala (CDM) watakua zaidi ya theluthi mbili ya wabunge wote. Maandalizi yameshaanza. Kumbuka, kabla ya uchakachuaji wa mwaka jana kulikua na wabunge 112 wa cdm walioshinda. Hali hiyo hatutairuhusu tena kaka.
   
 20. K

  Kiguu na njia Member

  #20
  Jun 14, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 95
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  ushauri ameshautoa!!!
   
Loading...