BARON99
JF-Expert Member
- Jan 25, 2017
- 4,718
- 5,315
Unafikiri hapa ndo kuna suluhisho cyo, umekosea sana ww jaji mwenyewe kutokana na jinsi unavyoona mapenzi yenu inawezekana kuna vingi kakufanyia lakini hukuvisema sasa unataka mtu akushauri kwenye mtandao na wakati kuna vingi hatuvijui hatari hii. Narudia tena humu huezi kupata suluhisho la maana.