Nina mashaka na huyu mwanaume

Nina mashaka na huyu mwanaume

Halafu wew inaonekana ni mbea sana,hata ndoa ukayoipata lazma ikushinde,kwa sbb huna Siri,suala la kutangaza madhaifu ya mwenzako syo.

Rudi kwenu huko wakufunze ,maana wanaume tuko na background toft hasa kulingana na namna tulivyofika kwenye goal,huend kasomeshwa na mjomba ake ,au ndg yake yeyote anapaswa kurudish fadhra kwake aidha kwa kusomesha watot wake na kujenga kwao kwanza,wew utaenda kwao utakuta ajajenga utakuja tena kumsema!

Most of you girls,mishahara yenu inaishia kujipodoa,no future ya kujenga Nyumba en other u only expect being married en live in man's house

Wew unapaswakubadilka,a guy become transparent to u coz he believes you as his wife bt unakuwa zero wa kutangaza ujinga ujinga ,uliza wenzio walio ktk ndoa wanaishije ustake maish ya kwenye movie
Huyu demu hajielewi...Maisha ni kusaidiana siku hizi, ile biashara ya kwamba majukumu yote afanye mwanaume hapana. Kama wote tunafanya kazi lazma tu provide regardless sana au kidogo
 
Majibu unayo tayari.unahitaji back up tu.haya endelea mama wala usihofu,uko sahihi.
 
Poleni na majukumu wana MMU, naomba niende kwenye Mada moja, kwa Moja Nina mahusiano na mwanaume mmoja, Mimi ni mfanyakazi Na mwenzangu ni mfanyakazi pia,mishahara yetu haitofautiani Sana japo yeye ananizidi kidogo, Cha kushangaza toka nimekuwa nae kwenye mahusiano haishi kulalamika hana hela(sina tabia ya kumuomba hela)amekuwa na tabia ya kunililia shida kila siku,kosa akiona hela nyingi kwenye pochi lazima aombe, niliwahi kuzungumza nae kuhusu tabia yake na future yetu akadai ana majukumu huko kwao ndo maana hela yake haikai. Ana mpango wa kwenda kutoa posa mwaka kesho,naombeni ushauri wenu jamani niko njia panda, huyu mtu akinioa ataihudumia familiar ipasavyo kweli? Tatizo lake jingine sio mpambanaji kabisa, hata ukimuomba ushauri wa jambo la kujenga majibu yake ni zero,naombeni ushauri wenu jamani huyu mwanaume kweli atanifaa iwapo tutaingia nae kwenye ndoa?
We acha upumbavu mapenzi ni zaidi ya hata hizo pesa...Af midemu mingine sijui ipoje??? We unaolewa na mtu au pesa zake? Huyo bwana kama ana upendo wa dhati inatosha sana kumpa sababu ya kuihudumia familia yake come what may.

We kama ushapata mtu mwengine sema ustafute sababu za kijinga.
 
acha ubwe.ge we mwanamke, mapenzi kusaidiana ungemuuliza pesa anapeleka wapi kabla uje kulalamika JF,

love needs patiency, sasa wewe leo muone omba omba kesho ndo tajiri mkubwa bongo,
katika maisha "ups and downs" haziepukiki be patient what if hiyo pesa anaitunza au anaifanyia investment mahali?,

love is what matters pesa ni majaaliwa, kama wewe uko after pesa basi mfuate huyo jamaa mpya uliempata.
 
wacha ujinga wewe,,,, ushapata bwana mwingine unatafuta sababu........juilize mmetoka wapi,,, je ni sahihi kwao ana majukumu........mipango yenu ya baadae kwa pamoja mmeipangaje,,,, au umemwachia yeye apange maana ndo katabia kenu........unafikiria hapa ndo penye suluhisho?????.....jipange dada.....ndoa ni maisha na sio utegemezi........utakimbia wangapi jiulize.......watakuchovya wangapi???? umejichunguza na wewe mwenyewe????
Hawa ndo akili zao zilivyo.Wanajiangalia wao tu wakati wao ndo wategemezi wakubwa. Hapo anaona hatapata chochote alitegemea kupiga mizinga na jamaa kamuwahi.
 
Pole sana dada. Mwanaume ambaye awezi kuwajibika mwanzoni mwa mahusiano huyo atakusumbua mbeleni. Wanaume wengi kipindi hiki wanapenda kuhudumiwa. Fikiria mwanaume anatafuta mchumba wa kuoa anaulizia anafanya kazi gani? za kuambiwa changanya na zako. Atakusumbua mbeleni.

Fanya maamuzi mapema.
Kwahiyo nyie ndo hamuulizii kazi? Mbona mnawakimbia wauza karanga kama mko perfect?Usiongelee upande mmoja tu angalia na wa kwenu,siku hizi kusaidiana ni lazima fursa ni chache.
 
Poleni na majukumu wana MMU, naomba niende kwenye Mada moja, kwa Moja Nina mahusiano na mwanaume mmoja, Mimi ni mfanyakazi Na mwenzangu ni mfanyakazi pia,mishahara yetu haitofautiani Sana japo yeye ananizidi kidogo, Cha kushangaza toka nimekuwa nae kwenye mahusiano haishi kulalamika hana hela(sina tabia ya kumuomba hela)amekuwa na tabia ya kunililia shida kila siku,kosa akiona hela nyingi kwenye pochi lazima aombe, niliwahi kuzungumza nae kuhusu tabia yake na future yetu akadai ana majukumu huko kwao ndo maana hela yake haikai. Ana mpango wa kwenda kutoa posa mwaka kesho,naombeni ushauri wenu jamani niko njia panda, huyu mtu akinioa ataihudumia familiar ipasavyo kweli? Tatizo lake jingine sio mpambanaji kabisa, hata ukimuomba ushauri wa jambo la kujenga majibu yake ni zero,naombeni ushauri wenu jamani huyu mwanaume kweli atanifaa iwapo tutaingia nae kwenye ndoa?
Karbu tu kwng tujenge maisha na famly bora
 
We acha upumbavu mapenzi ni zaidi ya hata hizo pesa...Af midemu mingine sijui ipoje??? We unaolewa na mtu au pesa zake? Huyo bwana kama ana upendo wa dhati inatosha sana kumpa sababu ya kuihudumia familia yake come what may.

We kama ushapata mtu mwengine sema ustafute sababu za kijinga.
Wanawake wa sikuhizi ni wajinga sana hasa hawa walio kwenye ajira. Wanataka wale wanaume wenye uwezo wa kuwatimizia mahitaji yote bila pesa zao kuguswa. Mimi wa kwangu kanifanyia hivi hivi kama huyu mleta mada,ni baada ya kumpata mwingine ambaye anaona maisha ni safi kisa ana gari na nyumba. Mimi nipichokifanya ni kumtakia baraka huko aendako.

Nature is very cruel.
 
unapigwa wewe. Anakufanya mti pesa...qhkaaa. Sababu hauombi ela kwa Nini yeye asikuombe. Atakuburula mpaka ukome...aliekuambia mwanaume anapewa ela nani?
 
Unajua kama hujaelewa, inabidi uulize kuliko kukurupuka na kuchangia.
Hebu rudi uisome uzi wake alafu urudi usome ulichokiandika, hapo utaelewa nimemaanisha nini.
nimeisoma vema tuu...labda wewe umesoma kinyume.......
 
Mmmh...hii thread mbona inanihusu, let's me conduct simple survey kwanza.
 
Maybe ndo njia yakukuchunguza ili akuone kama unafaa. Wanawake ni wachoyo kwa hela zao nadhani huu ni mtihani au utafiti wake. Ndoa ngumu siku hizi dada vumilia uvuke mtihani uolewe
 
Mimi naona na hata kumdharau umeshaanza, kwamba ukimuomba wazo hamna chochote na majibu yake ni zero....SIKU IKATOKEA MKAOANA NA WEWE UKAONGEZEKA KIPATO HUYO JAMAA LAZIMA AOSHE VYOMBO!
 
Umewahi kumuuliza kabila lake na mila zao zikoje?
kama ni mojawapo ya makabila yanayoiga tabia za simba,
mwanamke ndo mlisha familia, mme ni mlinzi wa familia na kuzalisha watoto.
Ujue mapema na kuamua mwenyewe la kufanya. Humu jf unaweza kupata majibu
mengi lakini yawe ni nyongeza kwa yale uliyonayo.
 
Eh shida kweli....Mwanaume hatakiwi alie shida mbele ya mwanamke...never
 
Back
Top Bottom