Nina mapenzi ya dhati; natafuta mchumba

Nina mapenzi ya dhati; natafuta mchumba

Nicheki pm ..ila ni.vascodagama kulingana na majukumu

Wacha nitoe msaada huu mwaka 2017 kwa kuwa hata na mchumba

Na sifa zote mpk.zimepitiliza,uvumilivu wako tuu kwa mwaka mzima nazunguka karibia tz yote kwa kifupi huwa sikai mkoa mmoja zaid ya mwezi mmoja..

Upo hapo
 
Duh.
 
Mapenzi ya kweli kila mtu anayo , sema tu inategemea mtu uliyenaue unamchukuliaje hapo ndip upendo wakweli huja, lakini kama huna mpenzi huwezi kujua kama unamapenzi ya kweli maana bado huna mtu wakumpenda mapenzi hayo ya kweli…
 
Papuchi no hadi ndoa, ssa haya mambo ya kuuziana mbuzi kwenye gunia, tutajuaje kama wet or dry ila maji sana tuandae na tambara la deki
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom