MOMPRENEUR
Senior Member
- Jun 18, 2016
- 193
- 127
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]hamna anaenitaka????
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]hamna anaenitaka????
hamna anaenitaka????
NINAEMUHITAJ[b/]
Awe na degree na kuendelea(sio lazima)
Awe anajua kimombo at least
Mfanyakazi
Wewe unajua fika kimombo siyo lugha yetu sasa ulazima wake ni nini au kwenye hiyo ndoa tutakua tunaongea kiingereza tu?
Awe anaishi Dar
Liziki ni popote ndugu yangu naomba usitunyime wa mikoani fursa.
Swala la kazi nafikili ata wewe unaona Mhe alivyokanyagia.
Awe kuanzia 24yrs na kuendelea
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Mfupi, mwembamba, mweusi, huna chura, huna kazi, nyonyo kubwa, una chunusi........etc etc[emoji134]
Uko makini kweli? Huna kazi ila unataka awe karibu yako maana yake huwezi kutoka hapo ulipo au maisha ni lazima hapo hapo dar?namaanisha awe karibu yangu.
sina kazi
nimesema wapi sina kazi???/
nimesema wapi sina kazi???/
sina kazi
ndio sina.