Ushauri umepatikana wa aina tatu!
1. Wengi wananishauri nimpige tu chini
2. Kundi lingine wanashauri nimpe nafasi
3. Baadhi wameniachia mwenyewe !
Nikichambua zaidi napata picha ya kwamba yawezekana kweli niliwekwa kwenye reserve list na huyu binti na kama mambo yake yangemuendea vizuri basi asingekuwa na time na mimi, hivyo basi, kwa kuzingatia ushauri wa watu wengi walionishauri hapa, mimi Thegame, bila kulazimishwa na mtu yeyote, nimeamua kuachana naye rasmi.