Mr. PriceKing Two
JF-Expert Member
- Feb 4, 2014
- 235
- 45
Kaka alikuweka akiba asee, so fanya yako hapo hajakupenda kacheka wee ndo mbadala wake kwa sasa kuziba pengo la kipenz wake
1. Mwanadada hana kosa lolote kwani mwanzoni alikuwa na sababu ya kukataa mahusiano nawe kwa kuwa alikuwa na mtu. (Inaonekana ni mwaminifu kwa mahusiano anayokuwa nayo).
2. Hakuna mahali ambapo imeandikwa kuwa mwanamke hawezi kuanzisha mahusiano na mwanaume.
Watu wengi hawajui kuwa wanawake pia hutongoza isipokuwa wanaume wengi hushindwa kutambua lugha wazitumiazo.
Huyo wako katumia lugha inayoeleweka ambayo hata wewe ungeliweza kuitumia pia.
3. Kinachokushangaza ni kipi mkuu, mbona wanaume nasi huwa tunafanya kama hivyo mara kibao kurudi nyuma na kukagua zile sehemu tulizopita pindi tunapotoswa tulipo.
Inavyoonekana huyo dada alikupenda awali na anachofanya sasa ni kukupa nafasi kabla hajaamua kumove on.
Kama unaona mtoto ni kikwazo mueleze kwa ufupi pasipo kumuumiza roho naamini atakuelewa.
NB:
Nimeshangazwa na comments nyingi za wadada humu ndani wanaomnanga mdada mwenzao.
Nimehisi ni wanafiki kwa kuwa wanawake wengi sana hufanya kama alivyofanya huyo mwanamke.
mambo vp ushapata uahaur
mtoa mada hata wew umezaliwa na screpa.ebu badilisha kauli hyo ndiy 2tiririke..
Nimekupenda bure
Achana nae na ikiwezekana namba yake
Iblock
Finish!!!!!!!!!!!
Hapa unazungumzia manini hayo?
Na huyo mtoto unayemwambia amzalishe kisha aje amchukue ina maana huyo Bint amekuwa ni mtambo wa kufyatulia watoto? Kama yanaboa sana mnayazalisha ya nini? Jifunze kuheshimu wanawake.
Huyo Bint amezaa mnampa majina yote mabaya,angetoa mimba ndio angeonekana msichana anayejua kujitunza!!!