Nina laki moja nawezaje kuizalisha?

Nina laki moja nawezaje kuizalisha?

Unafanya ishu gani kukuingizia kipato?? Kama hapana basi hiyo laki moja fanya mtaji wa biashara ndogo ndogo zipo nyingi mno
 
nunua matunda yakate kate yaweke kwa package then uza kwa bei unayoona inafaa
 
Angalia mtaani kwako Kuna shida Gani ambayo kiasi Cha fedha ulicho nacho kinaweza kutatua na huo ndo ujasiliamali.
 
Back
Top Bottom