kiitikioDear Gambe!! Sio kila young ni killer uwezo unajieleza imeandikwa sio kila member wa jf ni gt wengne ni great sinker.
=====================
Ukipata Ujumbe wa chuki matusi futa delete kabisa
=====================
Samsung galaxy mini 165000...
niuzie mimi
Mkuu Hiyo ndiyo samsung galaxy pocket?au hiyo ni nyingine?
Mi namsapoti kaka. Kupata JB kwa 200k impossibo mzee. Ndio labda hizo Tecno L series. Tena used.
Acheni mipasho bana mbona huawei ascend y300,ni JB tena kw a195k
Leta mpunga huo 250,000 nakuachia sony ericsson X10i kitu kizuri 8.1 mp Android version2.3.3 FANYA KU-PM
mini ipi s3 au s4???Samsung galaxy mini 165000...
mini ipi s3 au s4???
Ninayo cromax mpyafrmIndia touch sceen km upo serious.mwenye simu yoyote ambayo inarun android jelly bean kampuni yoyote kwa bei hiyo hapo juu ya tsh 200,000 anitafute kwenye na. 0714061310 iwe katika hali nzuri!!!
nipo serious micromax zipo nyingi ipi unayoikusudia wewe?? a116 canvas au????Ninayo cromax mpyafrmIndia touch sceen km upo serious.
nipo serious micromax zipo nyingi ipi unayoikusudia wewe?? a116 canvas au????
Ohh pole imepata mteja leo. May be utapata kwa wengine
leteni hela galaxy chat niwauzie anaetaka
processor 800mhz
ram 512mb
camera 2mp
internal 4gb(2gb za mtumiaji)
ina box, chaja, usb cable na risiti ya kununulia
kioo 3 inch
ina button na touch screen
inatumia android 4.1.2 jelly bean
soon itapata bbm (kwa africa samsung ndo watapata bbm kabla ya android nyengine)
no bonus nakupa simu na trick zote za internet kuhusu whatsapp na vyenginevyo utatumia bureee
![]()
bei 179,999 na senti 99
leteni hela galaxy chat niwauzie anaetaka
processor 800mhz
ram 512mb
camera 2mp
internal 4gb(2gb za mtumiaji)
ina box, chaja, usb cable na risiti ya kununulia
kioo 3 inch
ina button na touch screen
inatumia android 4.1.2 jelly bean
soon itapata bbm (kwa africa samsung ndo watapata bbm kabla ya android nyengine)
no bonus nakupa simu na trick zote za internet kuhusu whatsapp na vyenginevyo utatumia bureee
![]()
bei 179,999 na senti 99