Nina laki 3.5 nataka ninunue gallaxy,,!!!

Mastamind

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2013
Posts
1,316
Reaction score
840
Wajameni nisaidieni mie kaka yenu,,Nina Laki 3.5 nahitaji Gallaxy yenye kuendana na uwezo wang huo ila pia nataka ya high quality,, Ni Gallaxy gani nzuri na wp ntapata hapa Moro,,!!??
 
Ingekua dar ningekuambia nenda maduka ya Samsung unapata mupyaa...inategemea ni galaxy gani...galaxy ace ni nzurI nilikuta dukani lk2 na nusu km sijasahau...kuna galaxy tofauti tofauti ...ni weww tu..ss huko uliko mmhh
 
Hapo Moro kuna duka la samsung uliza limetazamana na duka la mhindi anayeflash sim anaitwa Adil hata yeye anazo hapo pote utapata ni chaguo lako na pesa yako
 
hata dAr nafika fasta2 mkuu,, Gallaxy S1, S2, ,,bei gan huko niibuke hata kesho nakurud
 
Hapo Moro kuna duka la samsung uliza limetazamana na duka la mhindi anayeflash sim anaitwa Adil hata yeye anazo hapo pote utapata ni chaguo lako na pesa yako

pale nyuma ya piras napapata bt hawauzaggi cm atii,,,
 
Kwa hizo laki 3 unusu ningekushauri uchukue TECNO N7,mpya na imara kabisa specification zake hazijapishana sana
na galaxy s3 tecno.jpeg
 
cjaitumia hyo kk labda ungexema specifications zake kwanza ili kuitathimini,,

Okey
Ina 1GB ram
Cpu 1.2 dual core
Gpu powervr 540
Battery 1780 mah
Internal memory 16GB
 
Attachments

  • uploadfromtaptalk1377782454645.jpg
    uploadfromtaptalk1377782454645.jpg
    3.9 KB · Views: 506
Kwa hizo laki 3 unusu ningekushauri uchukue TECNO N7,mpya na imara kabisa specification zake hazijapishana sana
na galaxy s3View attachment 109693

internal memory ni ngap kk coz nina tecno n3 inasumbua internal storage coz imekataa kuhamisha baadhi ya progs kwenda sd card
 
Wajameni nisaidieni mie kaka yenu,,Nina Laki 3.5 nahitaji Gallaxy yenye kuendana na uwezo wang huo ila pia nataka ya high quality,, Ni Gallaxy gani nzuri na wp ntapata hapa Moro,,!!??

niko moro nichek 0719004668 nna galax
y s2
 
Mkuu kuwa Moro sio tatizo hapo unakwenda
Dar haraka unapata galaxy nzuri pale Mlimani
City kuliko hizo za kupeana. Tena pale wanatoa
na warranty.
 
internal memory ni ngap kk coz nina tecno n3 inasumbua internal storage coz imekataa kuhamisha baadhi ya progs kwenda sd card

Nakushauri kama unataka simu haina ya techno basi ni vema ukanunua techno A+ phantom, maduka mengi zinaanzia 450 hadi 400
 
hyo phantom unabebea mfuko gan wa sarawili,,!??
 
Wajameni nisaidieni mie kaka yenu,,Nina Laki 3.5 nahitaji Gallaxy yenye kuendana na uwezo wang huo ila pia nataka ya high quality,, Ni Gallaxy gani nzuri na wp ntapata hapa Moro,,!!??

Wengine huku kaka zako aisee. Nadhani hatuonani tu ndo maana unadhani wote ma bwa wadogo.
 
Back
Top Bottom