Nina laki 3.5 nataka ninunue gallaxy,,!!!

Wajameni nisaidieni mie kaka yenu,,Nina Laki 3.5 nahitaji Gallaxy yenye kuendana na uwezo wang huo ila pia nataka ya high quality,, Ni Gallaxy gani nzuri na wp ntapata hapa Moro,,!!??

S2 ipo hapa ni pm
 
Kwa hiyo hela unaweza kupata GALAXY SII. Bahati mbaya nipo nje ya nchi ningekusaidia
 
inatumia android 4.0 ice cream sandwich

Halafu kuna jamaa nimemuona ana tecno ambayo ni android na inatumia line mbili. Bei ikoje hiyo simu mkuu?
Android Tecno za line mbili zinauzwaje na zipo za aina ngapi?
Am beginning to get interested in them. If you can help at all, please.
 
hata hiyo n7 ni double line kaka with 3G network,inaenda kwa 350,000/= brand new
 
Weka hmsini nikupatie galaxy tab two mpya kabisa ni tablet ya maana yenye uwezo wa kutumika kama simu
 
Back
Top Bottom