nina laki 2,50000 nipeni ushauri

nina laki 2,50000 nipeni ushauri

Saoka

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2018
Posts
468
Reaction score
682
wakuu habari zenu ,nina laki 2na nusu nahitaji smartfone nzuri je nichukue ipi kati ya infinix na tecno?
Ahsanteni.
 
Mkuu remdi 7 imetoka ila haijasambaa, ni simu nzuri zaidi kwa hio price point sasa. Ama kama una haraka sana simu kama redmi 6 inapatikana kenya ama mtu akuagizishie nje, ni nzuri pia.
 
Back
Top Bottom