Nina kipaji cha utapeli

Pumbafu! Unajisifia upumbafu wako!
 
Asante mkuu
 
Ingia betting utapiga pesa. Ukishindwa ingia kwenye siasa
betting hapana ila nina id ya michezo kama 7 hiv mipya na bado sijaona sokon kwenye siasa mh Mkuu sina connection
 
Pumbafu! Unajisifia upumbafu wako!
Kwamba hiZi ni sifa nimeleta hapa ili nisaidiwe sasa utanisaidiaje ikiwa hujaona tatizo husika pleas ushauri wako sipo kwaajili ya sifa
 
Nikwambie kitu bwana, haijalishi dini gani unaamini, kimbilia kwa Bwana mmoja aitwaye Yesu Kristo yeye atakutoa huko.
Ni muumini mzuri sana wa hizi mambo na hakuna dini nisiyo wahi kusali au kuswali hapa nchini
 
 
Una kipaji cha ushawishi,kama ungetaka kukitumia kufanya mishe halali ungepata mafanikio pia,lakini yale yasiyo na majuto baadae.
Sawa mkuu ndio mana nimekuja kwenu nipate moja mbili tatu
 
Kua mwanasiasa

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Unafaa sana kuwa afisa masoko au mpelelezi hizo kazi utaziweza mkuu utaifanya kwa ubunifu mkubwa sana omba wadau hku wakupe connection utakuja nishukuru badaye ..... ukikwama kabisa wakupe connection ya kuwa kishoka TRA
Au awe usalama fake, afu awe anakula sana suti na tai

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Sasa kwanini usiingie kwenye siasa ama makanisani...
Hicho ni kipawa kitumie kwa weledi.

Karma.
 
Duuh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…