Nina kifaa cha kubakia

Kristonsia Nkya

JF-Expert Member
Jun 24, 2013
301
290
Hakim: kijana unahukumiwa kifungo cha miaka 5 jela kwa kosa la kuuza gongo na konyagi.

Mtuhumiwa: Lakin vile ni vifaa tu mlivyovikuta navyo hamjanikuta na gongo.

Hakim: Wewee nyamaza!!!
Ukikutwa na Vifaa vya kutengeneza gongo lazima utakuwa mtengeneza gongo mzur sana we.

Mtuhumiwa: bas mnihukum pia kwa kosa la kubaka

Hakim:Haaaa!!!kumbe ulibaka pia????

Mtuhumiwa: Hapana skubaka ila Nina kifaa cha kubakia.

Hakim: kioneshe, kiko wapi??

Mtuhumiwa: (akafungua zipu ya suruali na kuonesha mashine yake) “Hiki hapa"

Hakim: Kuanzia sasa uko huru



 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom