Kama wewe ungetoa hukumu gani?

utafiti

JF-Expert Member
Jul 18, 2013
12,783
7,657
HAPA KAZI IPO:
Jaji: Nakuhukumu kwa kukutwa na mitambo ya kutengenezea gongo.
MTUHUMIWA: Lakn ni mitambo tu siyo gongo mheshimiwa!
JAJI: Hicho ni kithibiti tosha kabisa!.
MTUHUMIWA: Basi nihukumiwe pia kwa kosa la kubaka.
JAJI: Kumbe ulibaka pia!!?
MTUHUMIWA: Hapana, cjabaka ila hapa ninacho kifaa cha kubakia.
JAJI: kipo wapi ?
MTUHUMIWA: hiki hapa. Jamaa kafungua zip na kumuonyesha hakim uume wake.
JAJI: UKO HURU.
koh koh koh!!"
 
Rape is an act of a penetrator to penetrate a penetratee without prior consent of a penetratee. Wanaume tunaonewa? Haki mbinguni, sheria Duniani.:frusty:
 
Kama hakimu nachukua kidhibiti chake cha kubakia,ujue ni nyama nzur sana ikichomwa?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom