Nimefarijika kusikia kwamba siko peke yangu.Mkuu pole sana ... ni kawaida watu wengi wanafanya kazi ambazo hawapendi ila ni maisha tu inabidi ukomae. usiache kazi bila kazi maana utajua ni jinsi agani ilivyo kazi kuwa na stress wakati huna kazi.
Si unajua duniani usipojifunza utafunzwa, lakini usipojitunza hakuna atakayekutunza.
Kuna kama binamu usifanya move mpaka uwe na plan mkuu
Au ninasema uongo ndugu zangu?
Ahsante mkuu yaani sina mood kabisa.Nimewaza weeee,,,,nimeandika nimefuta nimeandika nimefuta.....mwisho nimeamua niseme tu.
Kazi Kama huipendi Anza kutengeneza au kuandaa mazingira ya kuiacha ......Yani ufanye mpango wa mda mrefu wa kujiajiri
Yah ni wengi tu, mtu alikuwa na ndoto za kuwa engineer wa barabara, anaishia kuwa banker, mwignien alikuwa na ndoto ya kuwa mwanasiasa anaishia kuuza matunda, mwingine alikuwa ana ndoto za kuwa super model, ameishiwa kuwa bidada wa kupanda stejini akiwa amevaa kanga za wolper.Nimefarijika kusikia kwamba siko peke yangu.
Mshana amroge sio😂Sio bure mzee ......umelogwa mtafute MSHANA JR.......au kaombewe
Kwa kweli ni utumwa aisee.Yah ni wengi tu, mtu alikuwa na ndoto za kuwa engineer wa barabara, anaishia kuwa banker, mwignien alikuwa na ndoto ya kuwa mwanasiasa anaishia kuuza matunda, mwingine alikuwa ana ndoto za kuwa super model, ameishiwa kuwa bidada wa kupanda stejini akiwa amevaa kanga za wolper.
Jifunze kuifanya iwe yenye kuvutia . . . yah kazi ni utumwa hustling till you dieKwa kweli ni utumwa aisee.