Nina jini mahaba


HMJ

HMJ

Senior Member
Joined
Apr 24, 2013
Messages
157
Points
195
HMJ

HMJ

Senior Member
Joined Apr 24, 2013
157 195
Jamani naomba munisaidie mwenzenu kama kuna bint nimemuona na kumtamani basi binti huyo naota nafanya nae mapenzi tena karibia wasichana wote wazuri hapa mtaani kwetu na wengine huwa siwajui na nini dawa yake?


NISAIDIENI NIMEKWAMA WAKUU!!!
 
Cresida

Cresida

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2012
Messages
11,157
Points
2,000
Cresida

Cresida

JF-Expert Member
Joined Aug 8, 2012
11,157 2,000
Jaman naomba munisaidie mwenzenu kama kuna bint nimemuona na kumtamani bac bint huyo naota nafanya nae mapenz tena karbia waschana wote wazur hapa mtaani kwe2 na wengine huwa cwajui na ikshatokea hivyo nikiwaona nakuwa cwatamani tena so,kuna m2 nilimueleza akanambia nina jini mahaba je kuna ukweli wwte kuhuxu hilo na kama ni kwel nn dawa yake?


NISAIDIENI NIMEKWAMA WAKUU!!!
unavoota unakuwa unatumia condom usije ukaukwaa miwaya ya ndotoni
 
Kirikou Wa Kwanza

Kirikou Wa Kwanza

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2013
Messages
3,430
Points
2,000
Kirikou Wa Kwanza

Kirikou Wa Kwanza

JF-Expert Member
Joined May 24, 2013
3,430 2,000
Huyo aliyekwambia una jini mahaba ndio inatakiwa akwambie dawa yake ni nini?
 
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Messages
40,069
Points
2,000
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2009
40,069 2,000
Dalili za mtu mwenyemajini mahaba na mchanganyiko






1.kuna kujitambua kuwa una majini kwa njia mbalimbali.kujitambua kwa njia ya ndoto ya dhahili.


2.dalili za dhahili.

a.kizunguzungu.


b.vitu kutembea tumboni.


c.vicheza mwilini.3


d.kichwa kuuma mara kwa mara.


e.kuhisi mtu anatembea nyuma yako.


f.kupiga mihayo sana.


g.macho kukosa aibu.


h.hasira za mara kwa mara.


i.kupoteza kumbukumbu.


j.ugomvi wa mara kwa mara.


k.maradhi ya kujibadilisha badilisha.


l.kuhisi baridi mara kwa mara.


m.kutojisikia kuongea hasa wakati unapossemeshwa na mtu unaona kama


anakusumbua.


n.masiko kupiga kelele.


o. Kuhisi vitu vinaongea masikioni.


p.kupoteza hela mara kwa mara kwa njia ya kutatanisha.


q.kuharibikiwa na vitu hasa vya moto.


r.matatizo ya hedhi kufungika au kutoka kwa wingi au kukosa kabisa.


s.kufungika kwa kizazi.


t kustuka stuka


u.moyo kuongoka sawa na mtu mwenye presha.


v.kupungukiwa damu na kukonda au kuishiwa maji mwilini.


w.kupungukiwa nguvu za kiume au za kike.


x.kusikia uchungu wakati wa tendo la ndoa au unapomaliza.


y. Kuhisi kichefuchefu unapomaliza tendo la ndoa.


z.kuhisi manukato au harufu mbaya.


aa.kukosa hamu ya kula au kubagua chakula.


bb.mimba kupotelea tumboni.


cc. Kuhisi watu wanakusemesha na hauwaoni.


dd.kifafa.


ee.kichaa.


ff.pia majini humsababisha mwanamke kuwa mkali wakati anapoombwa


tendo la ndoa.




3.dalili katika ndoto.


a.ndoto za kufukuzwa na wanyama wakali.


b.ndoto za kuota unajifungua.



c. Kuota unapigwa.


d.ndoto za kuogelea.


e. Ndoto za kupaa.


f.ndoto za kuota umepandishiwa jini.


g. Ndoto za kuota umeoa au umeolewa.


h.kuota umevalishwa pete au mkufu.


i.kuota unapigana.


j.kuota unapiga kelele.


k.kuota moto mkubwa.


l. Kuota unazika.


m.kuota umekufa.


n.kuota unafukua kabuli.


o.kuota sherehe mara kwa mara.


p.kuota unaongea na watu waliokufa.


z.kuota unaona visuguu.


aa.kuota unaona mafuvu wa watu.


bb.kuota unapiga ramli.


cc.kuota unavaa bangili au shanga.


dd.kuota watu wanachunga ng,ombe.


ee.kuota watu wamevaa nguo nyeupe..


ff.kuota unakabidhiwa mkuki,fimbo,mundu,mbuzi,kondoo,ng,ombe


na kitambaa cheupe.


gg.kuota vijumba vya mizimu.


hh.kuota vibuyu.


ii.kuota unakunywa au unanyeshwa damu.


kk.kuota watu wamevaa kanzu .


hizi ni dalili za majini kwa njia za ndotoni japo zipo nyingi ila nawatajia hizi hapa


kwa ufupi .na pia namuomba mwenyezi mungu aendelee kunipa fahamu ili niendelee


kuwaelimisha na kuwafundisha mambo mengi ya kuwatambua majini kwa njia za


njozi pia kwa njia za dhahili.watu wengi wanasumbuka na mashetani ,mizimu,majini,


maiti lakini hawajitambui sasa nahitaji kuwapa elimu ili muweze kufaidika nazo.


na pia nawafundisha dawa kwa ajili ya huduma ya kwanza.asante yenu


itanisababisha kazi yangu kusonga mbele hii ni moja ya sadaka.


kwa sasa majini ndio wanaongoza kwa kuwatesa watu ,na kuwatia nuksi,nakuwafilisi ,pia na kuvunja ndoa za watu.@
HMJ

Ukitaka utibabu niandikie email baruwa ya pepe Address yangu hii hapa fewgoodman@hotmail.com

Chanzo:MziziMkavu

 
Cresida

Cresida

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2012
Messages
11,157
Points
2,000
Cresida

Cresida

JF-Expert Member
Joined Aug 8, 2012
11,157 2,000
wewe MziziMkavu hao waarabu wanakuharibu
 
Last edited by a moderator:
H

hope1985

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2013
Messages
818
Points
250
Age
33
H

hope1985

JF-Expert Member
Joined Jan 2, 2013
818 250
ndo mkeo huyo umeozeshwa sawa jipangeni mpate watoto maana kama ni maisha tayari mmeanza.
 
R

Ruach

Member
Joined
Jun 8, 2013
Messages
31
Points
0
R

Ruach

Member
Joined Jun 8, 2013
31 0
Tafuta kanisa la watu waliookoka uombewe na pia utapewa ushauri ufanye nini. Maombi kwa jina la Yesu Kristo ndiyo suluhisho la kudumu njia nyingine ni danganya toto tu.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Chocs

Chocs

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2012
Messages
8,213
Points
1,250
Chocs

Chocs

JF-Expert Member
Joined Aug 21, 2012
8,213 1,250
Shindwa pepo...kafanyiwe maombi jamani khaah
 
Jackal

Jackal

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2012
Messages
4,411
Points
2,000
Jackal

Jackal

JF-Expert Member
Joined Apr 10, 2012
4,411 2,000

Soma huo ushuhuda chini hapo From TB Joshua Ministry(Emmanuel tv)....baada ya hapo utasaidika......!!

DELIVERED FROM DEMONIC ATTACK OF EVIL BIRD-


Mrs Mary Jacob, Kogi – Nigeria, used to see strange men coming to make love to her in her dreams. After every experience, she would have problems with her fiancé. In her dreams she would see a bird coming to attack her. After obtaining the New Anointing Water from The SCOAN she physically saw the bird coming to attack her and her sister ministered the New Anointing Water which caused the instant death of the bird. She displayed the picture of a dead bird which happens to be the very bird that used to appear to her in her dreams. Since then she has been sleeping peacefully and no longer sees the bird.

www.emmanuel.tv
 
Jackal

Jackal

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2012
Messages
4,411
Points
2,000
Jackal

Jackal

JF-Expert Member
Joined Apr 10, 2012
4,411 2,000
DELIVERED FROM THE CLUTCHES OF A GIANT SPIRITUAL HUSBAND(JINI MAHABA)
Pastor & Pastor (Mrs) Charles received a prophecy during a Sunday service. Prophet T.B. Joshua walked to Mrs Charles and prophesied to her saying that she had a spiritual husband, a giant man. Pastor Charles let himself be known and T.B. Joshua further prophesied to him stating that the spiritual husband had given him low sperm count. Today they have come to confirm the prophecy, explaining how the spiritual husband caused a lot of trouble in the home. There was no affection, he would end up doing the house chores and they were barren for eight years. The prophecy was followed by instant deliverance which they testified to and told all that they now relate well and the affection has returned. Prophet T.B. Joshua further prophesied that he is seeing a baby girl.
 

Forum statistics

Threads 1,285,546
Members 494,652
Posts 30,866,438
Top