Irus yako ikopoa!!jitoe ufahamu gonga alovera
Nakumbuka hali kama hiyo ilinikuta mimi nikiwa form five tosa boys nilishindwa hata kusoma nikarudi nyumbani kupumzika nikijikuta naumwa tu kitu nachoumwa hakionekani ila ilikua ni hofu tu baadae nikawa fresh hiyo ni hofu tu tulia mkuu utakua poa usijali!!
Kuhusu kuwa na VVU naona huna maana tokea 15/11 hadi 19/2 ni miezi mitatu ambapo kama ni kirusi tayari kingeonekana. Unahitaji kufanya total body check up. Kwa maelezo yako kabla ya kukutana na mama ulikuwa na tatizo la vidonda vya tumbo lililokupelekea kwenda kununua asali kwake. Haujaeleza kama hiyo tiba ilikuwa ni maelekezo kutoka kwa daktari au ni ya kienyeji. Kama ilikuwa ni tiba ya kienyeji basi kuna uwezekano wa moja kwa moja kuhusu mchanganyo wa tiba hiyo na maradhi yanayokusibu.
Ushauri:
Wahi mapema kumwagia dushe kwa konyagi au kiroba,.japo inauma
Wewe kweli bado limbukeni aliyekuambia ukimwi una ambukizwa kwa tendo moja nani? Kama ingekuwa hivyo watu wote wangekuwa na virusi. Hizo stress zako ndiyo maana unasikia unaumwa, na usipo angalia hizo stress zitakua na wala co ukimwi. Acha ujinga ondoa stress