Nina hisia kali sana za huzuni nifanyeje hii hali iniondoke?

Habari za wakati huu ndugu zangu

Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30+ , sijaoa na wala sina mpenzi wakudumu yaani mwanamke wakuoa bado sijapata..

Nimekua nikikutana na hali ya huzuni sana na kuumia moyo au kusikia kama kulipuka ndani ya moyo wangu ninapo kutana na mazingira kama haya ndugu zangu na hali hii ilianzakunikuta miaka mitatu iliyopita baada ya kuachwa na mwanamke niliempenda sana kwa kweli

1: Nikiona na kusikia mwanamke analia napatwa na huzuni kuu moyoni na kujisikia kuumia sana kiasi kwamba naondoka eneo hilo na kama ni maeneo ninamo ishi na vaa earphone au kuweka sauti kubwa kwenye radio nisisikie chochote

2: Naumia sana kuona mwanamke akiwa anapigwa inaniuma sana moyoni mwangu

3: naumia sana kuona watu wa kigombaa hasa hasa watu wazima au wakiwa wanaongea kwa uchungu sana inaniuma kweli

4: Ninapopata taarifa za kuhuzunisha kama misiba, magonjwa kwa watu wanao nizunguka , ajali yeyote inaniuma sana nina huzunika sana

5: Moyoni wangu umekua unahuzunika sana hasa hasa pale ninapo ona mtu mzima analia kwa sauti au ninapo ona machozi ya mtu mzima na migogoro nakua na huzunika sana

6: nikiangalia movie au kusikiliza story zenye maudhui ya kusikitisha au ukorofi na patwa na huzuni kali pia

Nb.. Huzuni zinapo nijia muda mwingine zinaambatana na mwili mzima kutetemeka kama mtu aliepigwa na baridi kali na nakua naongea kwa kutetemeka sana ( kwa kung'ata meno)

NIMEHANGAIKA SANA NA WATAALAMU WA AFYA KUTATUA HILI TATIZ LAKINI KWA KWELI NAONA NAO WAMESHINDWA MPAKA WANAFIKIA MAHALI KUNIAMBIA NIWE NAOMBA SANA

Naombeni msaada ndugu zangu , nifanyeje ndugu zangu

Hili tatizo mara nyingi huwa linatokana na maisha yako ya Utotoni yalikuwaje?
1. Ulikuwa unanyanyasika sana?
2. uliishi na wazazi wote wawili? au mzazi mmoja?
3. Ulipata malezi kutoka kwa ndugu wengine?
4. Ulikuwa unafanywa kichekesho ?
Hili tatizo lako lina suluhisho ninaku PM namba ya Phycologist utampigia na utaongea nae
 
Habari za wakati huu ndugu zangu

Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30+ , sijaoa na wala sina mpenzi wakudumu yaani mwanamke wakuoa bado sijapata..

Nimekua nikikutana na hali ya huzuni sana na kuumia moyo au kusikia kama kulipuka ndani ya moyo wangu ninapo kutana na mazingira kama haya ndugu zangu na hali hii ilianzakunikuta miaka mitatu iliyopita baada ya kuachwa na mwanamke niliempenda sana kwa kweli

1: Nikiona na kusikia mwanamke analia napatwa na huzuni kuu moyoni na kujisikia kuumia sana kiasi kwamba naondoka eneo hilo na kama ni maeneo ninamo ishi na vaa earphone au kuweka sauti kubwa kwenye radio nisisikie chochote

2: Naumia sana kuona mwanamke akiwa anapigwa inaniuma sana moyoni mwangu

3: naumia sana kuona watu wa kigombaa hasa hasa watu wazima au wakiwa wanaongea kwa uchungu sana inaniuma kweli

4: Ninapopata taarifa za kuhuzunisha kama misiba, magonjwa kwa watu wanao nizunguka , ajali yeyote inaniuma sana nina huzunika sana

5: Moyoni wangu umekua unahuzunika sana hasa hasa pale ninapo ona mtu mzima analia kwa sauti au ninapo ona machozi ya mtu mzima na migogoro nakua na huzunika sana

6: nikiangalia movie au kusikiliza story zenye maudhui ya kusikitisha au ukorofi na patwa na huzuni kali pia

Nb.. Huzuni zinapo nijia muda mwingine zinaambatana na mwili mzima kutetemeka kama mtu aliepigwa na baridi kali na nakua naongea kwa kutetemeka sana ( kwa kung'ata meno)

NIMEHANGAIKA SANA NA WATAALAMU WA AFYA KUTATUA HILI TATIZ LAKINI KWA KWELI NAONA NAO WAMESHINDWA MPAKA WANAFIKIA MAHALI KUNIAMBIA NIWE NAOMBA SANA

Naombeni msaada ndugu zangu , nifanyeje ndugu zangu

You are an empathy but jifunze kumanage hizo feelings. La si hivyo utahis kila mwanamke anahitaji kuokolewa.
 
Mkuu jiangalie sna hizo tabia ulizo nazo zina maliza nguvu ya uhai iliyopo ndani yako , jizoeze kufanya tahajudi angalau dakika 10 kwa siku
 
Mleta mada hii hali itaondoka haraka na kirahisi Sana endapo utafuata ushauri wangu.

1. Koroga uji kikombe 1 kisha chukua vijiko 2 vya sumu ya panya na uchanganye.
2. Kunywa kikombe chote cha mchanganyiko huu .

Hutakaa uisikie hiyo shida tena
 
Hali ya kuwa na hisia kali za huzuni inaweza kuwa ngumu sana kukabiliana nayo, lakini kuna mambo kadhaa unayoweza kufanya kusaidia kupunguza hisia hizo.

  1. Tafuta msaada wa kitaalam: Ni muhimu kutafuta msaada wa wataalamu wa afya ya akili, kama vile mshauri nasaha au daktari wa magonjwa ya akili. Wataalamu hawa wanaweza kukusaidia kutambua chanzo cha hisia zako za huzuni na kukupa mbinu za kukabiliana nazo.
  2. Fanya mazoezi: Mazoezi ni njia nzuri ya kupunguza hisia za huzuni na wasiwasi. Unaweza kuanza kwa kutembea, kukimbia, au kufanya mazoezi mengine ya mwili yanayokufurahisha.
  3. Jifunze kupumua vizuri: Kubadilisha njia yako ya kupumua inaweza kusaidia kupunguza wasiwasi na kusaidia kupunguza hisia za huzuni. Jaribu kufanya mazoezi ya kupumua kwa kusikiliza muziki au kutafakari kwa dakika chache kila siku.
  4. Tafuta njia za kukabiliana na huzuni: Kuna njia nyingi za kukabiliana na hisia za huzuni, kama vile kusoma kitabu, kuandika, kupiga simu kwa rafiki, au kufanya hobby inayokufurahisha.
  5. Jifunze kujieleza: Ni muhimu kujifunza jinsi ya kuelezea hisia zako kwa wengine. Kuzungumza na mtu unayemwamini inaweza kukusaidia kupunguza hisia za huzuni.
  6. Epuka vitu vinavyoongeza huzuni: Epuka vitu kama vile filamu zenye maudhui ya kusikitisha, habari za kuhuzunisha, na watu au mazingira yanayokusababishia huzuni.
Kumbuka kuwa hakuna suluhisho moja kwa hali yako, na inaweza kuchukua muda kupunguza hisia za huzuni. Kwa hivyo, ni muhimu kuwa mvumilivu na kujitunza wakati unatafuta njia za kukabiliana na hali yako.
 
Pole sana...
Jichanganye na watu, fanya vile vinavyokupa furaha na amani...
 
Habari za wakati huu ndugu zangu

Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30+ , sijaoa na wala sina mpenzi wakudumu yaani mwanamke wakuoa bado sijapata..

Nimekua nikikutana na hali ya huzuni sana na kuumia moyo au kusikia kama kulipuka ndani ya moyo wangu ninapo kutana na mazingira kama haya ndugu zangu na hali hii ilianzakunikuta miaka mitatu iliyopita baada ya kuachwa na mwanamke niliempenda sana kwa kweli

1: Nikiona na kusikia mwanamke analia napatwa na huzuni kuu moyoni na kujisikia kuumia sana kiasi kwamba naondoka eneo hilo na kama ni maeneo ninamo ishi na vaa earphone au kuweka sauti kubwa kwenye radio nisisikie chochote

2: Naumia sana kuona mwanamke akiwa anapigwa inaniuma sana moyoni mwangu

3: naumia sana kuona watu wa kigombaa hasa hasa watu wazima au wakiwa wanaongea kwa uchungu sana inaniuma kweli

4: Ninapopata taarifa za kuhuzunisha kama misiba, magonjwa kwa watu wanao nizunguka , ajali yeyote inaniuma sana nina huzunika sana

5: Moyoni wangu umekua unahuzunika sana hasa hasa pale ninapo ona mtu mzima analia kwa sauti au ninapo ona machozi ya mtu mzima na migogoro nakua na huzunika sana

6: nikiangalia movie au kusikiliza story zenye maudhui ya kusikitisha au ukorofi na patwa na huzuni kali pia

Nb.. Huzuni zinapo nijia muda mwingine zinaambatana na mwili mzima kutetemeka kama mtu aliepigwa na baridi kali na nakua naongea kwa kutetemeka sana ( kwa kung'ata meno)

NIMEHANGAIKA SANA NA WATAALAMU WA AFYA KUTATUA HILI TATIZ LAKINI KWA KWELI NAONA NAO WAMESHINDWA MPAKA WANAFIKIA MAHALI KUNIAMBIA NIWE NAOMBA SANA

Naombeni msaada ndugu zangu , nifanyeje ndugu zangu
Wanawake wanatafuta wanaume kama wewe ili wawe wanajiliza liza uwatetemekee wakuendeshe vizuri. Anyway, inawezekana unajiendekeza tu. Unajua kuna mambo ukiyachukulia kua ni tatito likua tatizo kwelikweli. Kwa maelezo yako huwezi hata kuingi mochwari kutambua maiti wewe. Jikazi mtoto wa kiume wewe, acha ubogazi.

Otherwise mfute Mtitu G. Game. Anatafuta watu kam nyie wa kulialia na kutetemeka kwa ajili ya movie zake.
 
Back
Top Bottom