Ukiijua nchi hii inavyoharibiwa, Unaugua, hulali! serikali imeshakopa kila mahali ndani na nje

DIZZO MTAWALA

JF-Expert Member
Aug 22, 2015
240
767
Muandishi ni Julius Sunday Mtatiro

UKIIJUA NCHI HII INAVYOHARIBIWA,
UNAUGUA, HULALI!
Moja ya masharti yaliyotolewa na Bodi ya Mikopo kwa waombaji wapya ni, ikiwa mzazi wako anamiliki LESENI YA BIASHARA huwezi kupatiwa mkopo.

Wengi wanadhani hilo linatokea kwa bahati mbaya, hapana, serikali yetu imeishiwa hela, kwa ujumla ni kama nchi yetu inafilisika.

Serikali imeshakopa kila mahali ndani na nje, na imekopa kweli kweli, imekopa hadi kuvuka viwango vya mkopo ulioidhinishwa na bunge kwenye bajeti ya 2017/18 kwa zaidi ya nusu trilioni.

Mashirika ya Hifadhi ya jamii yameshakopwa hadi hayajiwezi. Mabenki ya ndani yaliyopaswa kukopesha Raia yamekuwa "disturbed" na yametishwa na sasa yanaikopesha zaidi serikali kuliko raia (ni mkakati wa kuinusuru dola ya CCM).

Tunafahamu kuwa bajeti ya mwaka jana haikutekelezeka kwa zaidi ya asilimia 50 (chukulia tu mfano wa bajeti ya wizara ya maji na umwagiliaji ambayo ilipewa asilimia 22 tu ya fedha zilizopitishwa. Serikali haina pesa!

Makusanyo ya fedha za kigeni yameanguka kabisa, bei ya mazao ya biashara imeanguka vibaya, thamani ya shilingi inaporomoka, wastaafu wananyimwa hela zao zilizoko kwenye mifuko ya pensheni, wafanyakazi wamenyimwa ongezeko la mshahara hata lile la kila mwaka ambalo lipo kisheria (statutory annual increament).

Manispaa na halmashauri zimebanwa, mfano hivi sasa barabara nyingi za mitaani ni mashimo na mahandaki, fedha za ujenzi wa barabara zimechukuliwa na serikali kuu kutoka serikali za mitaa, zimewekwa TARURA...nina taarifa kwamba huko TARURA hazitoki kirahisi kurudi kutengeneza barabara, haijulikani fedha hizo zinakwenda wapi.

Halmashauri na manispaa huko nyuma zilikuwa zinakusanya fedha kwenye majengo n.k. Serikali Kuu imepora vyanzo vyote hivyo, halmashauri zimebaki zinashangaa. Zenyewe ndizo hushughulika na masuala ya moja kwa moja ya wanachi na ndizo ziko karibu ma watu na kwa kiasi kikubwa husimamia maendeleo ya WATU siyo VITU - hazina hela.

Hela zote zinapelekwa serikali kuu, zinanunua Bombardier's na Boeing's na kujenga viwanja vya ndege maeneo kama CHATO na madudu mengine mengi. Zinashughulika na maendeleo ya VITU ambavyo kwa kiasi kikubwa vitu hivyo havitakuwa na tija kwa asilimia 90 ya wana taifa (wapo watakaoelewa hili baada ya miaka 5 au 10).

Sasa hivi kila senti tano inapelekwa Serikali kuu na Bwana Mkubwa ndiye anayeamua kila jambo....jenga makao makuu Dodoma, Jenga reli ya umeme, jenga bweni hapa, hamisha hela za kujenga bweni kule wapelekee wale, mpe huyu hela hizi...n.k.

Amri zote hizo kwa kiasi kikubwa siyo utekelezaji wa bajeti iliyopitishwa na bunge, ni bajeti za mkubwa. Mfano, Bunge kwenye bajeti ya 2017/18 halikutenga fedha za kujenga uwanja wa ndege Chato, lakini cha ajabu uwanja umejengwa kwa shilingi bilioni 38 na naambiwa mabilioni zaidi yanaendelea kupelekwa huko. Uwanja umejengwa mahali ambako hauwezi kuwa na tija yoyote.

Sekta za kukuza maendeleo ya WATU kama sekta ya Kilimo, zimetupwa. Kwa sasa kilimo kinategemewa na asilimia 75 ya watanzania wote. Nchi zote zilizokuza uchumi wake duniani ziliwekeza fedha nyingi zaidi kwenye sekta ambayo inategemewa na watu wengi zaidi.

Kwenye Bajeti ya Mwaka huu 2018/19 serikali imetenga Shilingi Bilioni 11 kukuza kilimo na Shilingi Bilioni 495 kununua ndege moja mpya ya Boeing! Ndege hii moja (na kwa biashara ya ndege ilivyo) ni ndege itakayotuletea hasara mpya kila mwaka (Rejea hasara ya Shilingi Bilioni 223 tuliyoipata kwa kusimamia uendeshaji wa Bombardier mbili kwa miaka miwili 2016 - 2017.)

Lakini leo tumekitupa kilimo ili tununue ndege ili tupate sifa kuwa tulinunua ndege. Tumekosa vipaumbele na hatujui tunataka nini, wakati gani.

Tuendako ni kubaya zaidi kuliko tunakotoka. Mpaka siku watanzania watajua mapambano ya kudai nchi yao halisi ni mapambano ya kila mmoja, tutakuwa tumeumizwa vibaya sana.

Haya ya bodi ya mikopo ni mfano tu wa namna nchi inavyohama kwenye mstari. Inavyong'ang'ana kushughulikia maendeleo ya vitu huku watu wakiendelea kuporomoka kabisa, hadi siku tutakapojua tumefilisika.

#Mtatiro J
 
Huyu Mtatiro wa CCM ?????
 
Hii post ni ya mwaka gani? Ni Julius Sunday Mtatiro yupi? Aliyejiuzuru cuf na kuhamia ccm? Naomba kujua
 
Nchi yoyote yaweza kua hoi kiuchumi ila usidhanie kua watawala watalala njaa au atashindwa kula anachotaka.

Hivyo ni ama ujiunge nao au ukaushe.
 
Je huyu mwandishi Sunday Mtatiro na Julius Mtatiro wa CCM wana uhusiano?
 
Safi sana ccm mpya inachapa kazi

Enzi Mtatiro hajawa na roho ya korosho!
 
muwe mnajitahidi kusoma post yote kabla ya kukimbilia kutoa maoni
Huyu jamaa lazima ni mvivu wa kusoma au uelewa wake ni mdogo. Yaani post nzima kaona neno mkopo tu. Tena hata hilo mkopo angelisoma kwa kuelewa asingekuja na hoja ya hovyo kama hiyo. Hawa ndo CCM inawapenda, wanapiga tu makofi bila kuelewa hoja. Mungu ibariki Tanzania, watu sampuli kama hizi wapungue.
 
Ataikana hio akiiona anasifu na kuabudu ili afanane na mwenzie wakurya wa dar mdebwede
Muandishi ni Julius Sunday Mtatiro

UKIIJUA NCHI HII INAVYOHARIBIWA,
UNAUGUA, HULALI!
Moja ya masharti yaliyotolewa na Bodi ya Mikopo kwa waombaji wapya ni, ikiwa mzazi wako anamiliki LESENI YA BIASHARA huwezi kupatiwa mkopo.

Wengi wanadhani hilo linatokea kwa bahati mbaya, hapana, serikali yetu imeishiwa hela, kwa ujumla ni kama nchi yetu inafilisika.

Serikali imeshakopa kila mahali ndani na nje, na imekopa kweli kweli, imekopa hadi kuvuka viwango vya mkopo ulioidhinishwa na bunge kwenye bajeti ya 2017/18 kwa zaidi ya nusu trilioni.

Mashirika ya Hifadhi ya jamii yameshakopwa hadi hayajiwezi. Mabenki ya ndani yaliyopaswa kukopesha Raia yamekuwa "disturbed" na yametishwa na sasa yanaikopesha zaidi serikali kuliko raia (ni mkakati wa kuinusuru dola ya CCM).

Tunafahamu kuwa bajeti ya mwaka jana haikutekelezeka kwa zaidi ya asilimia 50 (chukulia tu mfano wa bajeti ya wizara ya maji na umwagiliaji ambayo ilipewa asilimia 22 tu ya fedha zilizopitishwa. Serikali haina pesa!

Makusanyo ya fedha za kigeni yameanguka kabisa, bei ya mazao ya biashara imeanguka vibaya, thamani ya shilingi inaporomoka, wastaafu wananyimwa hela zao zilizoko kwenye mifuko ya pensheni, wafanyakazi wamenyimwa ongezeko la mshahara hata lile la kila mwaka ambalo lipo kisheria (statutory annual increament).

Manispaa na halmashauri zimebanwa, mfano hivi sasa barabara nyingi za mitaani ni mashimo na mahandaki, fedha za ujenzi wa barabara zimechukuliwa na serikali kuu kutoka serikali za mitaa, zimewekwa TARURA...nina taarifa kwamba huko TARURA hazitoki kirahisi kurudi kutengeneza barabara, haijulikani fedha hizo zinakwenda wapi.

Halmashauri na manispaa huko nyuma zilikuwa zinakusanya fedha kwenye majengo n.k. Serikali Kuu imepora vyanzo vyote hivyo, halmashauri zimebaki zinashangaa. Zenyewe ndizo hushughulika na masuala ya moja kwa moja ya wanachi na ndizo ziko karibu ma watu na kwa kiasi kikubwa husimamia maendeleo ya WATU siyo VITU - hazina hela.

Hela zote zinapelekwa serikali kuu, zinanunua Bombardier's na Boeing's na kujenga viwanja vya ndege maeneo kama CHATO na madudu mengine mengi. Zinashughulika na maendeleo ya VITU ambavyo kwa kiasi kikubwa vitu hivyo havitakuwa na tija kwa asilimia 90 ya wana taifa (wapo watakaoelewa hili baada ya miaka 5 au 10).

Sasa hivi kila senti tano inapelekwa Serikali kuu na Bwana Mkubwa ndiye anayeamua kila jambo....jenga makao makuu Dodoma, Jenga reli ya umeme, jenga bweni hapa, hamisha hela za kujenga bweni kule wapelekee wale, mpe huyu hela hizi...n.k.

Amri zote hizo kwa kiasi kikubwa siyo utekelezaji wa bajeti iliyopitishwa na bunge, ni bajeti za mkubwa. Mfano, Bunge kwenye bajeti ya 2017/18 halikutenga fedha za kujenga uwanja wa ndege Chato, lakini cha ajabu uwanja umejengwa kwa shilingi bilioni 38 na naambiwa mabilioni zaidi yanaendelea kupelekwa huko. Uwanja umejengwa mahali ambako hauwezi kuwa na tija yoyote.

Sekta za kukuza maendeleo ya WATU kama sekta ya Kilimo, zimetupwa. Kwa sasa kilimo kinategemewa na asilimia 75 ya watanzania wote. Nchi zote zilizokuza uchumi wake duniani ziliwekeza fedha nyingi zaidi kwenye sekta ambayo inategemewa na watu wengi zaidi.

Kwenye Bajeti ya Mwaka huu 2018/19 serikali imetenga Shilingi Bilioni 11 kukuza kilimo na Shilingi Bilioni 495 kununua ndege moja mpya ya Boeing! Ndege hii moja (na kwa biashara ya ndege ilivyo) ni ndege itakayotuletea hasara mpya kila mwaka (Rejea hasara ya Shilingi Bilioni 223 tuliyoipata kwa kusimamia uendeshaji wa Bombardier mbili kwa miaka miwili 2016 - 2017.)

Lakini leo tumekitupa kilimo ili tununue ndege ili tupate sifa kuwa tulinunua ndege. Tumekosa vipaumbele na hatujui tunataka nini, wakati gani.

Tuendako ni kubaya zaidi kuliko tunakotoka. Mpaka siku watanzania watajua mapambano ya kudai nchi yao halisi ni mapambano ya kila mmoja, tutakuwa tumeumizwa vibaya sana.

Haya ya bodi ya mikopo ni mfano tu wa namna nchi inavyohama kwenye mstari. Inavyong'ang'ana kushughulikia maendeleo ya vitu huku watu wakiendelea kuporomoka kabisa, hadi siku tutakapojua tumefilisika.

#Mtatiro J
 
Dah!

Back
Top Bottom