"Nina Haraka"

"Nina Haraka"

Nimeshindwa kusoma hadi mwisho maana NINA HARAKA
 
Naona umeamua kusitiri tu MaThakoo hapo. Mzee kidonge unamatatizo

Basi karibu kiazi...
images
 
jomba unatubebea akili ......miaka ya 2000 kama ulikuwa stashahada tuassume ulikuwa na 21-22 jumlisha 17 sa hivi una ka 38 inamaana we jamaa hujabadilka kabisa .....sio rahc bana hivo otherwise ulikuwa unamtongoza ndugu yako
 
Correct, that time nilikua na 20.. Na sura yangu still haijabadilika sana na ukizingatia kichwani kipara na kidevuni nakwangua zote, unique ID

Sent from my BRAIN using JamiiForums mobile app
 
Wanaume banah,
Sio kila anayehudumia ni muhudumu, wengine ndio wenye mali wenyewe wameamua tuu kutoa huduma wasipoteze wateja. Na pia inawezekana kipato anachokiingiza ni mara kumi ya mshahara wako.
Nadhan hujamuelewa Mxhikaji,, yeye hashangai huyo dada kuuza mgahawa anachoxhangaa dem kuwa na muda wa kuongea nae
 
Back
Top Bottom