"Nina Haraka"

"Nina Haraka"

Wanaume banah,
Sio kila anayehudumia ni muhudumu, wengine ndio wenye mali wenyewe wameamua tuu kutoa huduma wasipoteze wateja. Na pia inawezekana kipato anachokiingiza ni mara kumi ya mshahara wako.
 
Ukweli ni kwamba angekukubali wakati huo kuna uwezekano mkubwa sana wakati huu usingekuwa naye.
 
Wanaume banah,
Sio kila anayehudumia ni muhudumu, wengine ndio wenye mali wenyewe wameamua tuu kutoa huduma wasipoteze wateja. Na pia inawezekana kipato anachokiingiza ni mara kumi ya mshahara wako.
Nadhani hatuhitaji kuyajua hayo. Kwa ishara tu demu keshadata kwa mla ganja. Kausha.
 
Wanaume banah,
Sio kila anayehudumia ni muhudumu, wengine ndio wenye mali wenyewe wameamua tuu kutoa huduma wasipoteze wateja. Na pia inawezekana kipato anachokiingiza ni mara kumi ya mshahara wako.
Teh teh teh teh...

Hili goli halihamishiki.
 
Teh kuna watu hua mnaona mmeyapatia maisha kisa kukaa kwenye ofisi...sjaona tatizo LA huyo Dada huenda alikua mdogo back then sa ulitaka akubali kila anaejileta!...na yawezekana angekubali ungekwangua tuu vocha na kutupa kule
 
Mleta mada mwenyewe bonge la brazameni...
upload_2017-11-28_16-24-9.jpeg
 
Mimi nilimuona na bado namuona bora, ila kinyume chake yeye sasa nahisi ananiona bora, wakati nampenda haswa alikua ananiona famba.

alikua na sababu usiseme hivyo my dear mpe nafasi tena kila kitu kina second chance in life
 
Back
Top Bottom