Nina hamu sana leo

Nina hamu sana leo

Akina hayo makitimoto na beer ndo maana twashindana vitambi na wababa siku hizi
 
jamaa na hamu halafu akija kwenye mitekenyo nadhani mambo yake ya hamu yote yataisha au sio mazeee..?
 
Hebu semeni wapi kuna nyama choma nzuri tukutano huko? Nina hamu sana leo.

Nafahamu upo Sinza na upo single kwa siku nyingi.
sasa unaonaje uje SAvei karibu na Mlimani City... usijali njoo mwenyewe na gari lako litakuwa salama. ntakurudisha home baada ya kumaliza hamu ... ya nyama.
Kesho twende kigamboni tukamsalimie ............. na ......
Nitarudi home Makongo kesho jioni
 
Au Temeke pale Kisuma bar! Full nyama choma! Pale ni mpango mzima
 
Nafahamu upo Sinza na upo single kwa siku nyingi.
sasa unaonaje uje SAvei karibu na Mlimani City... usijali njoo mwenyewe na gari lako litakuwa salama. ntakurudisha home baada ya kumaliza hamu ... ya nyama.
Kesho twende kigamboni tukamsalimie ............. na ......
Nitarudi home Makongo kesho jioni

hahahaaah..!kwa mama Kamchee..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom