Applicant
JF-Expert Member
- Feb 12, 2020
- 1,962
- 1,757
- Thread starter
- #41
Sasa kwa nini uanapata tabu kushusha nyuzi nyiingi za kutaka manzi wkt humu kuna uzi wa kupeana bei za machimbo!!!
Hahahahha hembu nipe linkSasa kwa nini uanapata tabu kushusha nyuzi nyiingi za kutaka manzi wkt humu kuna uzi wa kupeana bei za machimbo!!!
Kule kuna wa aina yeyote unaetaka ww wapo
Sent using Jamii Forums mobile app