Nina hamu nipate mwanamke msaafi, mzuri

Nina hamu nipate mwanamke msaafi, mzuri

Leo utaki masihala,unaachia uzi mfululizo yaani weka tu weke....
Igweeeeeeeeeeeehh...
 
Nina hamu nipate mwanamke msaafi, mzuri, yani nimfaindi yani nizame mpaka uvinza, awe tuu anajielewa mimi kutunza sio shida jamani, ilimradi awe tayari kupima (maana wanawake wa sasaihiv ukiwaambia kupima wanapiga chenga).

Yani ninahamu sana nipate mwanamke fundi nitafurahi sana (maana wanawak mafundi sikuizi hamna, ufundi kabaki nao mbuzi tuu)

Ukiwa fundi utakula vyangu

Sent using Jamii Forums mobile app
Cc: Bushmamy kamata hyo mashine utafurahi mwenyewe,usisahau kuleta mrejesho.
 
Anza kwanza wewe kuwa msafi ,mstarabu ,fua boxer sio boxer unavaa siku tatu ,

Badili lugha ,anza kuongea kiungwana na marafiki ulio nao ,pia anza kwenda sehemu nzuri za kujipumzisha classic mbn utawapata mkuu

Mwisho hakikisha gheton kwako pia ni pasafi na Pm safisha kabisa usiache ushahidi wowote



sent from HUAWEI
Mimi similiki geto, namiliki nyumba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom