Nina hamu mpaka basi.......

Nina hamu mpaka basi.......

Joined
May 10, 2012
Posts
92
Reaction score
71

Jamany Sio Siri.....Mwenzenu Nina Hamu....

Hamu yangu haina kipimo........natamani weekend ifike haraka nikatimize hamu yangu.....

Najua hata ww una hamu ya kitu fulani...ila yako haizidi yangu.....mara ya mwaisho ilikuwa miezi miwili iliyopita.....

Jamany sio utani nina hamu mwenzenu....na mungu akipenda weekend hii nitaenda kukata hamu yangu...

Hamu Yangu Yenyewe ni kwenda South Beach Kuogelea this weekend.

Najua mimacho itawatoka ila huo ndio ukweli wa mambo HAMU YANGU NI KWENDA KU SWIM PALE SOUTH BEACH.

Je, Wewe Hamu Yako Ni NINI???

 
Hamu yangu nikuchoma makanisa mie!
 
Mamsap wangu angekuwa hayupo period ningekuambia hamu yangu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom