Nina hakika ujinga sasa umevuka mipaka

Nina hakika ujinga sasa umevuka mipaka

Hakika hata mimi ilinishangaza sana wakati waziri Jenista Mhagama anatoa maelezo mbele ya Mhe. Rais. Badala ya kuongea hoja za msingi anaanza kusifu kijana wa UVCCM.
Nikajiuliza vipi kuhusu wale wasiokuwa na chama waliojitoa usiku na mchana kuwahudumia waathirika, majirani waliowapa hifadhi waathirika, ndugu na jamaa wanaotuma michango mbalimbali, madaktari na askari wanaokesha kuokoa na kuwahudumia waathirika na mengine mengi.

Niliishia kupata maswali mengi pasipo majibu
Cha kushangaza ujinga huu unazidi kushika Kasi hapa nchini. System imefanya makosa makubwa sana kuruhusu chama kimoja kukaa madarakani muda mrefu, tena kwa shuruti. Sifa za kijinga zinazidi kushika kasi baada ya kuwa na uhaba wa mafanikio tarajiwa. The worse is yet to come.
 
Hii tabia a uchawa iliyoanza kuota mizizi ni mbaya sana,itaharibu taifa na kizazi chetu,Cha ajabu kabisa inaonekana watawala wanagurahishwa sana na machawa,na Ili upate teuzi au ulinde nafasi Yako inabidi tu uwe chawa,Kwa bahati mbaya chawa hawana rafiki wa kudumu,wao wanamasirahi ya kudumu.
 
Mimi sioni haja yakumlaumu na kumdhihaki Rais na wasaidizi wake.Yule ni kiongozi lazima aheshimiwe
1)kupokelewa na kupigiwa ngoma zile ni protocol Za kiongozi ndo maana hata Marais wa nchi rafiki walivyokuja kwenye misiba ya Marais wetu waliotangulia mbele y'a haki protocol zilifuata kukagua gwaride na sanaaa na baadae kwenda sehemu husika
2)kusifia au kumpamba Rais hayo ni mahaba ya m2 Yeye hawezi kumkataza m2 anawaacha wajimwage ila anaweza kutoa maagizo kwa wasaidizi kama kuna mapungufu kayaona
3)Wajinga na washezi hawawezi isha Duniani tangu enzi za mitume na wataendelea kuwepo wanachoangalia wao ni maslahi yao binafsi
NB Tumwombe kiongozi wetu na Mungu ampe jicho la tatu ajifunze na kufanyia kazi mapungufu sio kumkashifu Je? Wazazi wetu wakikosea tunawakashfu? Jibu hapana
Heshima haiji automatic, Bali huwekwa mazingira ya heshima kuwepo. Hakuna namna utaweza kumuheshimu kiongozi kwenye mazingira yasiashiria heshima. Labda kama kwako rais ni Mungu. Lakini kwa Hawa viongozi wanaoingia madarakani kwa chaguzi za kishenzi, ni nadra kuwapa heshima.
 
Yaaani porojo zako zote ulizo piga hapa ni kwa kuwa tu mh Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania anapongezwa kwa kazi nzuri na maelekezo yake watendaji wa serikali kwa ajili ya kuwasaidia wahanga na majeruhi wa mafuriko ya Hanang eneo la kateshi. Kinachokutesa wewe siku zote ni chuki zako binafsi kwa mh Rais na li roho lako baya lililojaa wivu hasa baada ya kuona mh Rais akiendelea kuchanja mbuga katika mioyo ya watanzania.
Ukweli kabisa, wewe ni mtu wa hovyo kulikoni wote nchini, unahitajika kushughurikiwa ili ujinga ukuishe! Ushurutishwe urudi shule na upite JKt na msimamizi wako awe mwenye roho mbaya kuliko ya yeyote nchini

Unaboa sana mwashambwa wewe
 
Hakika hata mimi ilinishangaza sana wakati waziri Jenista Mhagama anatoa maelezo mbele ya Mhe. Rais. Badala ya kuongea hoja za msingi anaanza kusifu kijana wa UVCCM.
Nikajiuliza vipi kuhusu wale wasiokuwa na chama waliojitoa usiku na mchana kuwahudumia waathirika, majirani waliowapa hifadhi waathirika, ndugu na jamaa wanaotuma michango mbalimbali, madaktari na askari wanaokesha kuokoa na kuwahudumia waathirika na mengine mengi.

Niliishia kupata maswali mengi pasipo majibu
Uongozi kwa Tanzania, unamfanya mtu kupungukiwa akili, hekima na tafakari. Na uongozi ndani ya CCM unamfanya mtu kuwa punguani kabisa.

Umesema kweli, yaani Jenista Mhagama anasifia UVCCM wakati anajua kabisa kuwa watu wa kwanza waliowasaidia sana wahanga, ni majirani, ambao walienda kuwasaidia wenzao bila hata fikra za vyama vya siasa. Lakini akili na macho ya Jesista, vyote vimepofushwa na mahaba ya chama. Chama kimemfanya kuwa punguani, asiobe hata yaliyo wazi. Anashindwa hata kuwaona wale wanajeshi waliozama ndani ya tope, anawaona UVCCM tu wanaorandaranda.
 
Ukweli kabisa, wewe ni mtu wa hovyo kulikoni wote nchini, unahitajika kushughurikiwa ili ujinga ukuishe! Ushurutishwe urudi shule na upite JKt na msimamizi wako awe mwenye roho mbaya kuliko ya yeyote nchini

Unaboa sana mwashambwa wewe
Huyu Mwashambwa yumkini ni mgonjwa wa akili. Na sijui aliishia darasa la ngapi? Ni aheri ambaye hajaenda hata darasa moja lakini mwenye akili ataongea la maana hata kama hajui kuandika, kuliko huyu Mwashambwa. Huyu siamini kama ana mchango wowote kwa yeyote, lakini kwa vile ni mwanadamu, basi wacha aishi, tumvumilie, kama tunavyoweza kuwavumilia viumbe wengine wasio na utashi wa kujua jema na baya.
 
Back
Top Bottom