Nina gundu sio bure

Ngang'ania wengine watasema wako kwenye mahusiano lakn hawamaanishi...ng'ang'ania huku ukitoa zawadi ndogo ndogo na uwe romantic
Uweza kuta yuko kwenye mahusiano kweli lkn hapati utakavompa so anaweza aka quite huko
wewe vipi upo kwenye mahusiano?au upo single kama mimi?
 
Dukani kuna Zena, Ayu, Geisha. Revola, Camay, Emperial, nk bado tu unapigwa za uso...
 

Hauna pesa
Wameisha gundua ww ni mwanamme suruali
Hawa wanapenda sana pesa
Ukiwa na pesa huwezi wakosa hawa
 
Tafuta demu yeyote umgonge unukie papuchi kwa mbali watakuja wenyewe
 
Ujue demu akiwa hakutaki atasema ana mahusiano so kaza but komaa nae ad kieleweke
 
uko wapi nikuunganishe kwa mmoja nakupa tu namba yakeukahangaike mwenyewe na uhakika yupo single nimemwacha karibuni.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…