Nina gari Noah, kibiashara nifanyeje?

IPILIMO

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
1,819
799
Hello, Nipo Mbeya mjini,

Nahitaji nisaidiwe wazo la namna ya kuitumia Noah yangu kibiashara. Bado nzima sana.
Mawazo yangu niwe naenda route ya Mby-dar-mby safari za jioni...tatizo upatikanaji wa abiria (nasikia wasaka abiria wanakata hela nyingi sana), nimejaribu kukodisha hapa mby, dau lao ni dogo sana...Je lipi wazo lingine?
PM OR MSG 0687072066
 
Nadhani kwa mbeya Dar/Dar-mbaya kwa jioni ni biashara nzr.
Binafsi huwa natumia sana usafiri huo niwapo Tz.
 
Hello, Nipo Mbeya mjini,

Nahitaji nisaidiwe wazo la namna ya kuitumia Noah yangu kibiashara. Bado nzima sana.
Mawazo yangu niwe naenda route ya Mby-dar-mby safari za jioni...tatizo upatikanaji wa abiria (nasikia wasaka abiria wanakata hela nyingi sana), nimejaribu kukodisha hapa mby, dau lao ni dogo sana...Je lipi wazo lingine?
PM OR MSG 0687072066

We ulnunua kwa malengo gani, au ulnunua kwa kuwa jirani au fulani amenunua?
 
duh,,,kuna noah zinapiga ruti ya mbeya-dar?...

mi nashauri uza ununue pickup,uwe unabeba viazi mbatata hadi dar unapiga feza...
 
ahaa hata hapobwaweza piga route za mwanjelwa to kyela au to chunya kama itawezekana hata kwenda dar poa sana ila gar itachoka mapema
 
ahaa hata hapobwaweza piga route za mwanjelwa to kyela au to chunya kama itawezekana hata kwenda dar poa sana ila gar itachoka mapema[/QUOTE
NASHUKURU KWA MAWAZO YENU, NAONA NIFANYIE KAZI; GARI ILINUNULIWA KA MATUMIZI YA KAWAIDA TU, SIO KWA KUIGA...LAKINI MAISHA YANAENDA MBELE, MAWAZO PIA HUBADILIKA KWA KADRI YA MAISHA YANAVYOENDA.
ROUTE YA DAR-MBEYA-DAR NI NZURI ANGALAU KWA WIKI MARA MOJA ILI KUTOCHOSHA GARI; SAFARI ZA KYELA MBEYA AU MBEYA TUNDUMA NINAONA ZINA AINA NYINGI ZA USAFIRI (COASTER, HIACE NA NOAH ZILIZOSAJILIWA)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom